Waliogundua hesabu ngumu walikuwa wanatafuta nini na walizigunduaje?

Waliogundua hesabu ngumu walikuwa wanatafuta nini na walizigunduaje?

Kipindi nasoma niliwahi jiuliza swali kama lako kuhusu hawa waliogundua hesabu..

Nikawa najiuliza walikuwa wanaanzia wapi? Kwenye swali au kwenye jibu.

Ila kiufupi hakuna somo jepesi kama hesabu, hesabu hazidanganyi kama jibu ni 2 basi ni 2. Mimi kuna baadhi ya topics mfano logic, statistics na zile Algebra 1 & 2 hata swali lije vip nilikuwa sikosi.
 
Kuna ile kitu inaitwa Descrete mathematics au morden algebra acha kabisaa ile kitu inatesa kama bawasiri. Kuna mnyama Laplace transforms nyie acheni hili somo liwe la watu wachache
daaaaah, et laplace, hizo hesabu ni upotezaji tu wa muda,kuna Yale ma matrix ya 6by6.ni ushenzi tu,yalinitesa sana na sasa bado nateseka na maisha kitaa.what a loose of time.
 
Back
Top Bottom