Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,667
- 5,043
Ilinitesa hadi chuo lakini sioni umuhimu wake kwenye maisha ya kawaida[emoji16][emoji16][emoji16]
Hakuna kitu kimewasumbua raia wanaogopa namba kama topiki ya Probability
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilinitesa hadi chuo lakini sioni umuhimu wake kwenye maisha ya kawaida[emoji16][emoji16][emoji16]
Hakuna kitu kimewasumbua raia wanaogopa namba kama topiki ya Probability
Ya kuamka asubuhi kwenda kazini na kurudi jionimaisha ya kawaida ni yapi hayo mkuu?
Ha ha haaa! Umenikumbusha excel yake ya Lotas 1-2-3! Yawezakana hata mimi spelling nimechemsha.Kompyuta Makintosh? (may be spelling nimechemka
wakati nasoma hii comment nimepata shida kuielewa kama ilivyokuwa kwenye kipindi cha hesabu kipindi kileHizo hesabu zilianza kugunduliwa kwa kufanya assumptions nyepesi tuu. Mfano calculus aliyezigundua alikuwa anajaribu kutafuta Gradient(slope) ya mstari ambao haujanyooka (curve) maana hapo mwanzo gradient(slope) ilikuwa inatafutwa kwa mstari ulionyooka( straight line).
So far nadharia nyingi za kimahesabu zimeonekana kuwa ni mwendelezo au marekebisho au ugunduzi mpya wa wanafunzi fulani kutoka awali walipoishia waalimu wao au wakubwa wao katika kazi.
Mfano THOMSON alikosolewa na mwanafunzi wake Ernest Rutherfod. So far Rutherford nae alikosolewa na mwanafunzi wake James Chadwik.
Isaack Newton alipata kufundishwa na mwalimu wake ambaye nae alikuwa mtaalamu wa mahesabu Isaac Barrow. Tafiti nyingi za Newton zilitokana na kukosoa tafiti za waalimu wake.
Sioni matumizi ya hesabu kama trigono ratio au logarithim ktk maisha ya kawaida. Yaan zinatumika wapi?
Kosa tunalifanya ni kufundisha wanafunzi wetu kuelewa vitu, badala ya kuwafundisha wanafunzi wetu wajue kujifunza kuelewa vitu. Nina uhakika tusingewafundisha kwa staili ya sasa, hiyo hesabu ingekuwa imeishatafutiwa njia nyingine rahisi na inayovutiwa na vijana wetu!Ilinitesa hadi chuo lakini sioni umuhimu wake kwenye maisha ya kawaidaView attachment 1964966
Elimu yetu ni shida ukiachana na advanced level. Chuo tulifundishwa proba distribution kama 30 hivi normal, binomial, poisson,chi, t, f distribution etc na mpaka leo sijui matumiz yake kwenye real life.Kosa tunalifanya ni kufundisha wanafunzi wetu kuelewa vitu, badala ya kuwafundisha wanafunzi wetu wajue kujifunza kuelewa vitu. Nina uhakika tusingewafundisha kwa staili ya sasa, hiyo hesabu ingekuwa imeishatafutiwa njia nyingine rahisi na inayovutiwa na vijana wetu!
Mimi, nikuchekeshe nilifanikiwa kuelewa probability kupitia kipindi cha Television cha learning kilichokuwa kina rushwa kwenye channel ya DSTV! Na asikwambie mtu, usipoelewa ukakariri tu, hutakaa uelewe kutatua tatizo linalohusiana na jambo ulilokariri.
Nyie ndio mlisoma Bwege Akimbia Mathematics (BAM)?Kilichonifanya nikwepe kwenda PCM badala yake nika opt PCB yalikuwa ni maandalizi ya kuikwepa hesabu, maana niliona usumbufu kila ukihitaji kujua hesabu fulani lazima ukae kwenye kiti ujipinde mgongo uandike andike kwenye karatasi. Wakati kwenye bio-medical sciences ukishameza vitu vyako vyote vya muhimu na kujua sehemu za ku-refer umemaliza mchezo. Hata wakuletee mgonjwa kashindikana vipi, ukishajilaza kama nusu saa tu na ku retrieve vitu kichwani tayari umeshajua aina ya ugonjwa na tiba.....
Ilinitesa hadi chuo lakini sioni umuhimu wake kwenye maisha ya kawaidaView attachment 1964966
Mkuu, hizo makitu zinakazi yake kwenye utafiti. Zinasaidia sana kupata majibu ya kitakwimu ili ujenge hoja ya kufanya hitimisho la kitafiti za kisayansi.Elimu yetu ni shida ukiachana na advanced level. Chuo tulifundishwa proba distribution kama 30 hivi normal, binomial, poisson,chi, t, f distribution etc na mpaka leo sijui matumiz yake kwenye real life.
Hii nayo inakazi yake sehemu mbalimbali. Mfano kwenye kutafuta upenyaji wa nishati joto kwenye kuta mbalimbali zilizotengenezwa na yabisi, kimiminika ama gesi.Yaani mtu anafundishwa sijui differential eq akitoka hapo kibongo bongo inamsaidia nini.
Kiukweli hesabu ilotumika kwenye mapiramidi haijavunjiwa rekodi mpaka leo!Acha ujinga mkuu na hadithi za kusadikika aka abunuwasi.
Na kompyuta unayoitumia imeletwa na viumbe eti?
Dunia ya sasa ina innovations kubwa sana kuliko ma pyramid ambayo hayana kazi yoyote ya maana.
Umenena kweli mkuuMkuu, hizo makitu zinakazi yake kwenye utafiti. Zinasaidia sana kupata majibu ya kitakwimu ili ujenge hoja ya kufanya hitimisho la kitafiti za kisayansi.
Hii nayo inakazi yake sehemu mbalimbali. Mfano kwenye kutafuta upenyaji wa nishati joto kwenye kuta mbalimbali zilizotengenezwa na yabisi, kimiminika ama gesi.
=====
Kwa ujumla, ilitakiwa mambo haya yafundishwa kwa pamoja, yaani kanuni na theories zake na matumizi ya theories hizo. Ukweli, chuoni mpagilio wa silabasi ulikuwa hivyo, mfano kwamba ukijifunza differential ama ordinary ama partial lazima ufundishwe na mambo ya heat and mass transfer ambayo ni application yake kwenye semister hiyo ama inayofuata. Sasa unaweza kukuta, mwalimu wa hesabu anamaliza topic zake, yule wa heat ama fluid anarukaruka tu hamalizi ama na wahesabu anarukaruka! Kibaya wote wakirukaruka ni mtiti kwa mwanafunzi.
Pia sina hakika kama TCU, kwenye kupitisha mitaala yote nchini kwa vyuo vikuu kama huwa wanazingatia logic niliyoeleza hapo juu.
Mkuu, nakushukuru sana kwa kuniwezesha kufunguka. Ha ha haaa!
Walikuwa wanatafuta kipenyoMihesabu kama ya Trigonometric ratios
(Tan, Cos na Sin), Calculus n.k. na mihesabu migumumigumu ya chuo kikuu iligunduliwaje?
View attachment 1963923
Yani mtu unasolve page nne ndio unapata jibu jamani!!! Sasa walifikiajefikiaje muafaka kwamba ukifanya hivi hivi ukaja hivi na hivi mpaka mwisho ndio mjibu huo umetiki??
View attachment 1963924
Kwakweli hesabu ni jambo la kushangaza sana. Hebu tupeni historia ya kugunduliwa hesabu mpaka leo. Na je hakuna hesabu mpya zilizogunduliwa miaka ya karibuni?
Dah.... Uko vizuri, complex maths imetumika sana kwenye kuunda helicopter walicheza sana na angular momentum mzee!Hutumika kukokotoa aina za kani za kiumeme (electrical power triangle), mfano reactive, apparent, na real power hizi unalazimika kutumia sin, cos ama tan kuzipata!!! Pia power factor za mashine za umeme!