multmandalin
JF-Expert Member
- Sep 8, 2012
- 2,034
- 577
Hii fomula ndo imewezesha mapiramidi kudumu hadi leo, na kuweza kuwafanya wafu waoze taratibu sana!E=mc2 is such a terrible equation.
Einstein akatuletea shida duniani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii fomula ndo imewezesha mapiramidi kudumu hadi leo, na kuweza kuwafanya wafu waoze taratibu sana!E=mc2 is such a terrible equation.
Einstein akatuletea shida duniani.
Apply log mtu wangu. Utaielewa.... au tumia Chi square table of distributions😂😂😂wakati nasoma hii comment nimepata shida kuielewa kama ilivyokuwa kwenye kipindi cha hesabu kipindi kile
Kwenye maisha ya kawaida proba ina application muhimu ila huwezi kuona kwa jicho la kawaida. Kwenye uwanja wa medani utengenezaji wa silaha na madhara inayoweza leta silaha iyo kama itatumika au utengenezaji wa vitu viwandani na kupima ubora wa bidhaa.Ilinitesa hadi chuo lakini sioni umuhimu wake kwenye maisha ya kawaidaView attachment 1964966
Hesabu ngumu ni mfano wa hii:Na hesabu ngumu kuliko zote duniani ni ipi na hiyo hesabu inakuwa ngumu ikitafuta kitu gani?
wakati nasoma hii comment nimepata shida kuielewa kama ilivyokuwa kwenye kipindi cha hesabu kipindi kileHizo hesabu zilianza kugunduliwa kwa kufanya assumptions nyepesi tuu. Mfano calculus aliyezigundua alikuwa anajaribu kutafuta Gradient(slope) ya mstari ambao haujanyooka (curve) maana hapo mwanzo gradient(slope) ilikuwa inatafutwa kwa mstari ulionyooka( straight line).
So far nadharia nyingi za kimahesabu zimeonekana kuwa ni mwendelezo au marekebisho au ugunduzi mpya wa wanafunzi fulani kutoka awali walipoishia waalimu wao au wakubwa wao katika kazi.
Mfano THOMSON alikosolewa na mwanafunzi wake Ernest Rutherfod. So far Rutherford nae alikosolewa na mwanafunzi wake James Chadwik.
Isaack Newton alipata kufundishwa na mwalimu wake ambaye nae alikuwa mtaalamu wa mahesabu Isaac Barrow. Tafiti nyingi za Newton zilitokana na kukosoa tafiti za waalimu wake.
unanipiga na kitu kizito kichwani🤣Apply log mtu wangu. Utaielewa.... au tumia Chi square table of distributions😂😂😂
Hiyo ilikuwa 2018 mkuuKwenye maisha ya kawaida proba ina application muhimu ila huwezi kuona kwa jicho la kawaida. Kwenye uwanja wa medani utengenezaji wa silaha na madhara inayoweza leta silaha iyo kama itatumika au utengenezaji wa vitu viwandani na kupima ubora wa bidhaa.
Komaa jamaa hayo madude yanatesa kama bawasiri asee
Hapo unesahau vumbi la kongoWaafrika ni vilaza wa kugundua fomula za hesabu ila wanaweza kuzikariri. Unakuta mtu ni Prof ila hajawahi gundua formula yoyote ya maana.
Kuna jamaa anaitwa Terence Tao ndio mchawi wa hesabu wa kizazi cha sasa.
Waafrika tunatia huruma sana ndio maana hatuna teknolojia za maana.
Sisi tuambie mdumange, gobogobo,mahngoma, mchiriku,amapiano, singeli, ndomboro nk mzungu zmanasibiri.
lugha nzuri ungesema hujui umuhimu wake, maana ukisema huoni inamaana unafahamu applications zake ila hujaona popote kwe maisha yako ya kila siku, mfano kwe ujenzi wa barabara na majengo makubwa upimaji wa angles na heights hutumia principles za trig sa inawezekanaje mtu ukawa hupiti barabaran kwe maisha yako ya kila siku?Ya kuamka asubuhi kwenda kazini na kurudi jioni
Mimi machinga pale karume na trig wapi na wapilugha nzuri ungesema hujui umuhimu wake, maana ukisema huoni inamaana unafahamu applications zake ila hujaona popote kwe maisha yako ya kila siku, mfano kwe ujenzi wa barabara na majengo makubwa upimaji wa angles na heights hutumia principles za trig sa inawezekanaje mtu ukawa hupiti barabaran kwe maisha yako ya kila siku?
Hahaa centripetal na centrifugal forces mara nyingi inatumika sana kwenye round about, Daah umenikumbusha mambo ya Physics.Kwenye kona Atasema anaongeza centripetal force [emoji23][emoji23]
Sijihusishi na hoja ya Wazungu kututawala hapa. Bali naitizama Hoja ya A. Einstein na Urais wa Taifa la Israel. Kwa kweli jamaa alikuwa sahihi kabisa - Tena MNO!. Hebu jiulize aisee, ni nani mwanafizikia aliyewahi kupigwa marisasi kwa sababu ya fizikia yake? Ni nani aliyewahi kuwekewa sumu kwa ajili ya Mathematics zake? Ukiwa mwanasiasa e.g. Urais ujue kwamba saa yoyote usioijua Unaweza kuwekwa Lock-up, kumiminiwa risasi, Kupotezwa a.k.a kutupwa, kuwekewa sumu, utajadiliwa na kudhihakiwa sana/mno kwenye mitandao n.k.Dah.... Wazungu watatutawala sana, kama mtazamo kwenye mahesabu ndo tuko hivi basi tena!
Kimsingi Albet Einstein alifuatwa ili awe Rais wa kwanza wa Israel, jamaa kwa akili alizonazo akajibu siasa ni ngumu kuliko fizikia. Akagoma kabisa, japo waisrael wenyewe walimkubali sana kiakili!
Kwa mtu wa PCM Hesabu ndo slope. Na hata ukichekia matokeo utaona Mathe wanaburuza.wenyewe wa PCB na PCM wanakwambia hesabu ndio ya kupumzikia[emoji28][emoji28][emoji28]
kweli duniani tuko tofauti sana.
yaani aliyefaulu masomo yote alama za juu anaonelea bora akapumzike kwenye hesabu PCM kuliko kukumbana BIOLOGY ya PCB.
Ni rahisi mtu wa sayansi kubutua A ya Mathematics kuliko physics na Binafsi ule msuli wa kujiandaa kuingia form 5 ulinionya mapema kuwa physics huiwezi nikaaimia zangu EGM na bado Math nikaosha A 😀😀😀wenyewe wa PCB na PCM wanakwambia hesabu ndio ya kupumzikia[emoji28][emoji28][emoji28]
kweli duniani tuko tofauti sana.
yaani aliyefaulu masomo yote alama za juu anaonelea bora akapumzike kwenye hesabu PCM kuliko kukumbana BIOLOGY ya PCB.
Unaijua pure maths au unaisikia kwa ummy mwalimu tu?Kwa mtu wa PCM Hesabu ndo slope. Na hata ukichekia matokeo utaona Mathe wanaburuza.
Achana na mziki wa PHYSICS asee!
Kipindi napiga msuli wa kujiandaa kuingia form 5 niliona Physics siiwezi kabisaaa na nikaachana nayo.Kwa mtu wa PCM Hesabu ndo slope. Na hata ukichekia matokeo utaona Mathe wanaburuza.
Achana na mziki wa PHYSICS asee!
😀😀😀.Mnaojua hesabu hongereni sana, binafsi sikumbuki chochote nilichosoma kuhusu hesabu zaidi ya magazijuto.