Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Daah upo zako kwa mtogole unawachambua Ukraine mipango yao ni F na ninyi mnaonunua maji kwenye madumu mipango yenu ni A.Ukraine mipango ya vita ni F,hyo nguvu aliyotumia hapo Kursk angeitumia kurudisha maeneo yake yaliyotekwa.
Usituone wore wajinga hajaacha kiporo Bali amekula mkong'oto na hajua namna ya kuwatoa pale Kursk, mamia ya wanajeshi was Russia wametekwa we unasema kuacha kiporo.Kinyume chake Urusi imewawacha kiporo askari hodari wa Ukraine walioingia Kursk na Kuendelea kuteka eneo la mwisho la Donest.
Hii leo Ukrain wanalia na kujutia uamuzi wao wa kuingia Kursk
mkuu nipe kiwango cha mabadirishano ya mateka nione kama urusi anatekwa sanaWenzio wanaongelea facts, wewe unaongelea hisia. Uwe unafuatilia mambo kwa weledi siyo kwa hisia na mihemko ya unachokitaka.
Ni kweli kuwa Urusi ina jeshi kubwa zaidi, na bila shaka silaha nyingi zaidi, na pesa nyingi zaidi, LAKINI hiyo haijaondoa ukweli kuwa imeshindwa kuipiga Ukraine. Ndiyo maana unaona kila mara mpaka inafanyika mipango ya kubafilishana askari mateka. Hiyo ina maana kuwa Russia kuna wakati inazidiwa kiasi cha askari wake kujisalimisha.
Tena kabla hata ya msaada wowote kutoka nchi za Magharibi, ikiwa inatumia askari wenye ujuzi wa juu, Urusi iliingia Kiev, ikakimbia baada ya kupoteza askari wengi, tofauti na plan yake ya kumaliza vita ndani ya siku tatu.
Mtaalam mmoja wa vita aliwahi kusema kuwa unapoanzisha vita, unajua itakavyoanza, lakini huwezi kujua itakavyokwisha. Na ndiyo kinachowatokea Russia. Wanajua tarehe waliyoanza vita lakini hawajui itaisha lini na itaisha kwa namna gani.
Unajisahau sana Ustadh.Hamas hawajawahi kupewa hadhi ya kuwa jeshi japo ni mashujaa katika kupigania haki za wapalestina.
Wangekuwa jeshi basi Israel haina uwezo kupambana nao na isingechukuwa miezi 10 kabla mayahudi kurudishwa kwao Ulaya.
Wewe una akili Sana kuliko wote wanaotoa taarifa ya Putin ku dundwa ,Ukraine ni Kijiji tu kumemgeukia Putin na anakimbia Sasaπππ₯π₯ UkraineHii si mara ya mwanzo kwa Ukraine kujifafagua katika vita utadhani ndio wameshinda.Walitaja mengi kule Kherson na kwamba walikuwa wako karibu kukata njia inayoelekea Crimea kwa kuuganisha bara la bahari nyeusi.Hatimae imekuwa kimya kabisa.Na mengi mengineyo.
Kuhusu Kursk inawezekana kweli kuna askari wamefika lakini wote waliofika hawataweza kutoka tena wachilia mbali kufungua ofisi.