Walioitwa usaili TRA Septemba 2023

Walioitwa usaili TRA Septemba 2023

safi sana mkuu maswali yako ni mazuri na yana uwezekano mkubwa kuyakuta
Natoa tu mfano wa ufahamu interview huwa haitabiriki unatestiwa ulichosoma kama ulikielewa na practical ,experience ya fani husika inavyo apply mitaani ndio.maana wanachuo huenda field ,general knowledge na IQ test kupima uwezo wa akili yako in relation to the field husika ulisoma kuwa je wewe kichwani zimo ? Au ulisoma kukariri tu notes na Field ulienda ulielewa?
 
mkuu nomba mkeka wa majina tuangalie kama tumekumbukwa
 
Kuna rafiki yangu kaitwa kwenye usahili

DOLPHINE HALL MNMA DAR ES SALAAM

Mwenye kujua hiyo sehemu ni wap?
 
Natoa tu mfano wa ufahamu interview huwa haitabiriki unatestiwa ulichosoma kama ulikielewa na practical ,experience ya fani husika inavyo apply mitaani ndio.maana wanachuo huenda field ,general knowledge na IQ test kupima uwezo wa akili yako in relation to the field husika ulisoma kuwa je wewe kichwani zimo ? Au ulisoma kukariri tu notes na Field ulienda ulielewa?
sawa sawa mkuu
 
Habari za Asubuhi wanajamii forum,
Uzi uu ni maalum kwa kupeana maelekezo,miongozo,Maswali yote yanayopendwa kuulizwa na TRA katika INTERVIEWS zao,yeyote anejua ni maswali gani wanapenda kuuliza basi ashee nasi hapa kwa vipengele vyote walivyotoa TRA hususa ii ya September 2023.

1.SWALI
Namba ya usaili unaipata wapi ukiingia katika akaunti yako ya TRA?
Msaada tafadhali.
karibuni,
Ingia kwenye email yako wametuma
 
Wameshazituma kwenye email,angalia email yako utaziona
 
Mimi mtaalamu mbobezi kwenye kutunga maswali ya Interview za kazi

Twende kazi nakupa swali la mfano tu sample simple question katika maswali magumu natunga interview

Mfano TRA wanahitaji watu kumi mlioomba mko 800 na sifa wote zinafanana kama walivyoweka kwenye vigezo

Nikuulize swali kwenye written kwa nini tukuchukue wewe tuwaache 799? Elezea
unajua watu wanaweza chukulia utani swali uliloweka maswali mengi sidhani kama ni ya kuumiza kichwa ila nikupima uwezo wako wa kufikiri. Kama hilo uliloweka, au je kama tukikuajiri utapenda mshahara tukulipe ngapi sasa jichanganye tu jibu lako. Au kwanini umependa fanya kazi TRA sasa njoo na majibu yale ya kuambizana na kudanganyana . Ushauri wahi kwenye eneo la inteview , be smart , jibu kwa usahihi , usikimbilie kujibu kabla ya kufikiri hata kama swali ni jepesi.
 
Hayo maswali ni ya Oral dear,usijidanganye kwamba utayakuta kwenye written interview.Written interview inakuaga hadi na calculations za kufa mtu kutegemea na proffession yako.Kwaiyo mnaoenda kwenye interview someni mjiandae vizuri
 
Back
Top Bottom