Nyanso Beirut
Member
- Jun 15, 2022
- 21
- 25
sio kwa wote !!!namba ya mtihani zimeshatumwa kweny email angalien kwenye email zenu mlizoombea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio kwa wote !!!namba ya mtihani zimeshatumwa kweny email angalien kwenye email zenu mlizoombea
Natoa tu mfano wa ufahamu interview huwa haitabiriki unatestiwa ulichosoma kama ulikielewa na practical ,experience ya fani husika inavyo apply mitaani ndio.maana wanachuo huenda field ,general knowledge na IQ test kupima uwezo wa akili yako in relation to the field husika ulisoma kuwa je wewe kichwani zimo ? Au ulisoma kukariri tu notes na Field ulienda ulielewa?safi sana mkuu maswali yako ni mazuri na yana uwezekano mkubwa kuyakuta
wameshatuma kwenye email kweli nimechekinamba ya mtihani zimeshatumwa kweny email angalien kwenye email zenu mlizoombea
Bado chief labda kama wanatuma kidogo kidogo binafsi bado sijampata hiyo namba japo nimeitwa kwenye usailiwameshatuma kwenye email kweli nimecheki
MNMA sio Mwalimu Nyerere Memorial Academy sina uhakika 100% lakiniKuna rafiki yangu kaitwa kwenye usahili
DOLPHINE HALL MNMA DAR ES SALAAM
Mwenye kujua hiyo sehemu ni wap?
sawa sawa mkuuNatoa tu mfano wa ufahamu interview huwa haitabiriki unatestiwa ulichosoma kama ulikielewa na practical ,experience ya fani husika inavyo apply mitaani ndio.maana wanachuo huenda field ,general knowledge na IQ test kupima uwezo wa akili yako in relation to the field husika ulisoma kuwa je wewe kichwani zimo ? Au ulisoma kukariri tu notes na Field ulienda ulielewa?
Ingia kwenye email yako wametumaHabari za Asubuhi wanajamii forum,
Uzi uu ni maalum kwa kupeana maelekezo,miongozo,Maswali yote yanayopendwa kuulizwa na TRA katika INTERVIEWS zao,yeyote anejua ni maswali gani wanapenda kuuliza basi ashee nasi hapa kwa vipengele vyote walivyotoa TRA hususa ii ya September 2023.
1.SWALI
Namba ya usaili unaipata wapi ukiingia katika akaunti yako ya TRA?
Msaada tafadhali.
karibuni,
Wameshazituma kwenye email,angalia email yako utazionaHabari za Asubuhi wanajamii forum,
Uzi uu ni maalum kwa kupeana maelekezo,miongozo,Maswali yote yanayopendwa kuulizwa na TRA katika INTERVIEWS zao,yeyote anejua ni maswali gani wanapenda kuuliza basi ashee nasi hapa kwa vipengele vyote walivyotoa TRA hususa ii ya September 2023.
1.SWALI
Namba ya usaili unaipata wapi ukiingia katika akaunti yako ya TRA?
Msaada tafadhali.
karibuni,
Watatuma mimi niliwapigia asubuhi wakasema zitatumwa leo na kesho....watu ni wengi sio rahisi wote wapate leoMbona mm kwebye email yangu sioni
Imeisha hiyo kama leo na kesho hapo sawaWatatuma mimi niliwapigia asubuhi wakasema zitatumwa leo na kesho....watu ni wengi sio rahisi wote wapate leo
Red flag[emoji1787][emoji1787]mie nimeshiriki kuandaa maswali ya kada fulan Ila sitoi ng'oo
Karudie kusoma madesa ya fani yako
Hakuna mtelezo saivi
Ajira ngumu na watu wengi lazima uitolee jasho
Hamna ubwete
unajua watu wanaweza chukulia utani swali uliloweka maswali mengi sidhani kama ni ya kuumiza kichwa ila nikupima uwezo wako wa kufikiri. Kama hilo uliloweka, au je kama tukikuajiri utapenda mshahara tukulipe ngapi sasa jichanganye tu jibu lako. Au kwanini umependa fanya kazi TRA sasa njoo na majibu yale ya kuambizana na kudanganyana . Ushauri wahi kwenye eneo la inteview , be smart , jibu kwa usahihi , usikimbilie kujibu kabla ya kufikiri hata kama swali ni jepesi.Mimi mtaalamu mbobezi kwenye kutunga maswali ya Interview za kazi
Twende kazi nakupa swali la mfano tu sample simple question katika maswali magumu natunga interview
Mfano TRA wanahitaji watu kumi mlioomba mko 800 na sifa wote zinafanana kama walivyoweka kwenye vigezo
Nikuulize swali kwenye written kwa nini tukuchukue wewe tuwaache 799? Elezea
Hayo maswali ni ya Oral dear,usijidanganye kwamba utayakuta kwenye written interview.Written interview inakuaga hadi na calculations za kufa mtu kutegemea na proffession yako.Kwaiyo mnaoenda kwenye interview someni mjiandae vizuriunajua watu wanaweza chukulia utani swali uliloweka maswali mengi sidhani kama ni ya kuumiza kichwa ila nikupima uwezo wako wa kufikiri. Kama hilo uliloweka, au je kama tukikuajiri utapenda mshahara tukulipe ngapi sasa jichanganye tu jibu lako. Au kwanini umependa fanya kazi TRA sasa njoo na majibu yale ya kuambizana na kudanganyana . Ushauri wahi kwenye eneo la inteview , be smart , jibu kwa usahihi , usikimbilie kujibu kabla ya kufikiri hata kama swali ni jepesi.