Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hii haina shida kabisa?Sio kubadili majina wengine shule ya msingi tuliandikishwa majina 2 na secondary hadi vyuo ila tulipoenda kujiandikisha NIDA wakataka majina 3 unaona ilo jambo mzee
Wanasema jina la 3 linaloongezeka inabidi liwe miongoni mwa majina ya baba yanayoonekana kwenye cheti cha kuzaliwaMbona hii haina shida kabisa?
I have the same case na wala sijawahi kuletewa noma kokote.
Samahani mkuu hivii Oral interview ya TRA itafanyikaa pia kikandaa au??? Na vpy itafanyikaa Muda ganii baada ya writtenWanasema jina la 3 linaloongezeka inabidi liwe miongoni mwa majina ya baba yanayoonekana kwenye cheti cha kuzaliwa
ulipata mkuu?Ukipata nitag
Wapigie TRA.Samahani mkuu hivii Oral interview ya TRA itafanyikaa pia kikandaa au??? Na vpy itafanyikaa Muda ganii baada ya written
Ushajua kuwa unatoboa?Samahani mkuu hivii Oral interview ya TRA itafanyikaa pia kikandaa au??? Na vpy itafanyikaa Muda ganii baada ya written
Mrejesho kwa waliofanya usaili wa TRA leo.
Tusubiriii tuu nadhanii kufikia mwezii wa 12 majibu yatakuwa tayarii
[emoji3]Tusubiriii tuu nadhanii kufikia mwezii wa 12 majibu yatakuwa tayarii
Nafikiri mwezi wa 11 yatakua tayari then wa 12 itakua oral kipindi wanavyuo wamefunga wiki 2 ili madarasa yao yatumime kuendeshea oral