Walioitwa usaili TRA Septemba 2023

Walioitwa usaili TRA Septemba 2023

Mkuu sio kwa kumbeza, ila kama jamaa ameitwa na ni mbali na mkoa anaoishi ukijumlisha na nyomi la waliotwa, inapaswa ajiangalie mara mbili
kwaiyo uanishauri nirudi kwetu kimbiji😁
 
Sio kubadili majina wengine shule ya msingi tuliandikishwa majina 2 na secondary hadi vyuo ila tulipoenda kujiandikisha NIDA wakataka majina 3 unaona ilo jambo mzee
Mbona hii haina shida kabisa?
I have the same case na wala sijawahi kuletewa noma kokote.
 
Mbona hii haina shida kabisa?
I have the same case na wala sijawahi kuletewa noma kokote.
Wanasema jina la 3 linaloongezeka inabidi liwe miongoni mwa majina ya baba yanayoonekana kwenye cheti cha kuzaliwa
 
Wanasema jina la 3 linaloongezeka inabidi liwe miongoni mwa majina ya baba yanayoonekana kwenye cheti cha kuzaliwa
Samahani mkuu hivii Oral interview ya TRA itafanyikaa pia kikandaa au??? Na vpy itafanyikaa Muda ganii baada ya written
 
Hakikisha kila siku unasoma, na sio kusoma tu fatilia na habari za kila siku kuhusu wao kuhusu wizara ya fedha
 
kama kusoma ni ratiba yako ya kila siku na unaelewa unachokisoma bac hakika mitihani yao unafaulu na kazi unapata bila CONNETION.
 
Nafikiri mwezi wa 11 yatakua tayari then wa 12 itakua oral kipindi wanavyuo wamefunga wiki 2 ili madarasa yao yatumime kuendeshea oral
 
Nafikiri mwezi wa 11 yatakua tayari then wa 12 itakua oral kipindi wanavyuo wamefunga wiki 2 ili madarasa yao yatumime kuendeshea oral

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom