Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

Mie nimepata fundi Tofali za chini 200 za juu 300

Sikujua kumbe mpaka mchanga na kokoto Una madalali!!

Halafu usikubali kuletewa mchanga/kokoto usiku

Wale Jamaa wa magari wana sehemu wanapita wanapunguzia
Kweli fundi chini ni 200~250...ili upate mafundi wazuri, walipe hiyo 250..juu walipe 300...
 
Mie nimepata fundi Tofali za chini 200 za juu 300

Sikujua kumbe mpaka mchanga na kokoto Una madalali!!

Halafu usikubali kuletewa mchanga/kokoto usiku

Wale Jamaa wa magari wana sehemu wanapita wanapunguzia
Duh mnawabana sana mafundi. Nawalipa 400 kwa tofali juu/chini.
 
Good.
 
Ubarikiwe sana chief asante sana
 
HaPA ukiwa unamkunja wife lazima watoto wasikie mama yao anavyolia🤣🤣🤣🤣

Ndio maana Master bed room nimeiweka mbali sana na vyumba vingine. Hata maongezi ya huko hayatakiwi kabisa yavuke mipaka kwa namna yeyote. Ukitoka vyumbani unakutana na sebule na dining kukitafuta chumba chetu.
 
Natafta nyumba ya kununua mwanza gari moja kufka mjini iwe na hat milki isizd. M 20 niingie na thaman zangu tu. Staki kujenga.
 
Ndio maana Master bed room nimeiweka mbali sana na vyumba vingine. Hata maongezi ya huko hayatakiwi kabisa yavuke mipaka kwa namna yeyote. Ukitoka vyombani unakutana na sebule na dining kukitafuta chumba chetu.
Kaka ramani kama hii na mm ndo naipenda naweza pata hii rama i mkuu ata Ground flour tu?
 
Kwangu master bedroom haihusiani na room za watoto

Huko nimeweka na private room ndogo hivi itafaa Kama library au sehemu ya kutulia mwenyewe.

Nadhani haina uhusiano na uchumi
Manake gharama ni Ile Ile kikubwa ni majadiliano na mchora ramani/fundi
KHa sasa study rum ndani ya masterbedroom tena....study inatakiwa ikae kivyake bwana ata mgeni akija mnamazungumzo binafsi unamwambia tuingie chemba hapo.

Pia watoto wanafanya homework yao huko na mama yao kwa raha zao
 
Soma polepole

Upande wa master bedroom nimeweka private room.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…