Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

Hongera mkuu kwa hatua hii. Daaah najiwazie mie wa buku 7 daily ntaweza kujenga kweli kama msingi tu unakula tofari buku 2!

Tofali zinaweza kuongezeka au kupungua kulingana na eneo. Ikiwa kiwanja chako kipo kwenye tambarare, msingi hauli tofali nyingi.

Usikate tamaa wala usife moyo mkuu.
Ahsante sana mkuu inaonekana vyema kabisa iko poa sana

Karibu kiongozi.
 
Tofali zinaweza kuongezeka au kupungua kulingana na eneo. Ikiwa kiwanja chako kipo kwenye tambarare, msingi hauli tofali nyingi.

Usikate tamaa wala usife moyo mkuu.

Karibu kiongozi.
Mkuu ramani nimeipenda ntapambana mdogo mdogo kama ww ntaichukua kama ilivyo,naanza na msingi then najipanga kumaliza afu kupaua mpaka dec 2022 nifikie hatua fualani,ahsante sana
 
Tofali zinaweza kuongezeka au kupungua kulingana na eneo. Ikiwa kiwanja chako kipo kwenye tambarare, msingi hauli tofali nyingi.

Usikate tamaa wala usife moyo mkuu.

Karibu kiongozi.

Msingi uli
Tofali zinaweza kuongezeka au kupungua kulingana na eneo. Ikiwa kiwanja chako kipo kwenye tambarare, msingi hauli tofali nyingi.

Usikate tamaa wala usife moyo mkuu.

Karibu kiongozi
Msingi uliweka kozi ngapi?
 
Mkuu ramani nimeipenda ntapambana mdogo mdogo kama ww ntaichukua kama ilivyo,naanza na msingi then najipanga kumaliza afu kupaua mpaka dec 2022 nifikie hatua fualani,ahsante sana

Karibu. Ntakachokushauri uongeze kidogo ukubwa wa vyumba vile viwili.

Pia kwenye jiko nilifanya marekebisho.
Store niliisogeza isiguse ukuta ili kuwe na mwanga jikoni.

Pia niliweka mlango wa mbao wenye vile vioo vinapitisha mwanga hafifu ili sehem ya maliwato na kuelekea vyumbani pasionekane mtu anapokua sebuleni.

Blue ndio eneo la jiko
Nyekundu eneo la store
Mstaro wa kijani badala ya kuwa wazi, nikaweka mlango wenye kupitisha mwanga

Msingi uli

Msingi uliweka kozi ngapi?
2000, kiwanja kilikua na mteremko upande mmoja. Hii ilinigharim kifusi cha kujazia. Kilitafuna 2.2 M

Ila kama ningekua makini, ningeweka parking au vyumba badala ya kujaza udongo.

Namaanisha nyumba ingekua na muonekano wa ghorofa upande mmoja lakini upande wa pili nyumba ya kawaida.
 
Asante Sana.
 
Unamaanisha chumba Cha chini wazungu wanaita basement. Ila kinahitaji pesa ndefu ya zege kama la ghorofa?
 
Unamaanisha chumba Cha chini wazungu wanaita basement. Ila kinahitaji pesa ndefu ya zege kama la ghorofa?

Kuchora sio kiviile ila ningeweza kufanya hivi. Matokeo yake hilo eneo ilibidi kujaza kifusi cha kununua kwa sababu udongo wa kule una mfinyanzi sana. Hauwezi kuutumia kama kifusi.

Hapo ningringia gharala ya kuchimba kidogo na slab, zege kufunika floor ya kwanza.
 
Hii mpaka kukamilika imekula mlion ngapi?

Msingi uliondoka na takriban 10M. Boma likapiga 10M ( tofali nilijengea inch 6) chini kabisa baada ya mchanga niliweka nondo na kizege uchwara, zikalala tofali baada ya level, ukafungwa mkanda wa nondo nne, linter nondo nne na mistari mitatu ya juu.

Shughuli ilianza kwenye kuezeka. Bati Alaf 6.7M (running meter 388, kofia na misumari yake) mbao zote trwated 5.7M

Fundi hapo alikamata 3M

Frame za milango 1.8 M.

Mkuu kwanza inanikumbusha machungu tu hapo hatujaongelea plumbing na yenyewe inatafuna2M hapo ni zile bomba za awali zinazochimbiwa hatujaongelea shower, masink ya choo wala ya kunawia mikono. Hata zile koki weka pembeni.

Tuje umeme, awamu ya kwanza haikuwa na mambo mengi 1.9M. Hapo zile socket nikanunua Zanzibar Legrand ilikua laki sita. Socket na switches.

Ilishakamilika milango na kila kitu ni takriban 90M.
 
Duh hii hatari mzeya milkion mia hiyo inaondoka....mhm kweli ujenzi sio wa wazinzi
 
Duh hii hatari mzeya milkion mia hiyo inaondoka....mhm kweli ujenzi sio wa wazinzi

Ingeweza kupungua kuna vitu nilifanya kwa uoga na kupigwa kutokana na muda wa usimamizi. Ilikua nikipata muda nataka nifanye mambo mengi ndani ya wakati mfupi.

Hapo fundi akikutajia bei ilimradi umeridhika na kiwango haugalalizi.

Na mbaya zaidi ilikua nawanunulia hadi chakula vibarua na mafundi wote, sasa hapo ndio jamaa wakajua hapa pesa ipo. Wakawa wananipiga badala ya kusaidiana.
 
Mafundi bwana wajinga sana yaani unawasaidia wao wanakuchukulia wee boya.
 
Reasonable lakini, Hongera sana Mkuu
 
Hii mpaka kukamilika imekula mlion ngapi?
Kwa kukadiria mpaka hatua hiyo inaweza kuwa imekula 60/70 mill inaweza kuongezeka au kupungua ila inategemea kwanza material alizotumia na eneo alikofanyia ujenzi.

Tanzania yapo maeneo nyumba kama hiyo mpaka inaisha unatumia 40mill.
 
KaKa hongera sana. Nisaidie picha za milango (top) yako ya vioo nikopi
 
Nimekupata ahsnte sana
 
Pia hapa kwenye openning za sitting room inabidi uweke french doors itasaidia pia kwenye suala zima la kiyoyozi.

Ukubwa wa vyumba hivi viwili nakubaliana nawe angalau viwe 4 x 3.5 metres.

Choo cha master bedroom pia ningeweka kishare ukuta na study room ili chumba kiwe na madirisha mawili, moja upande wa nyuma ya nyumba na jingine upande wa pembeni rather than madirisha yote mawili kuwa upande mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…