Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

Mm ni mhandisi so fundi kwangu ilikua rahis kumcontrol na nlimlipa hela yke bila kumlalia sana! Na pia kuna baadhi ya vitu uwa vinaongeza gharama ya ujenz so nlijitahid kuviepuka as possible.
Safi...so mzeya ukwa benet na mafundi hutaki ujinga....mhandisi hivi two bedroom house inaweza gharimu kiasi gani
 
Heshima sana wakuu,

Tumshukuru Mungu mwingi wa rehema kwa kutupatia uhai mpaka sasa tunapoelekea kuukamilisha mwaka 2021. Najua kwamba wapo wengi walitamani.

kuanza ujenzi wa nyumba zao na ni ukweli usiopingika kwamba baadhi yao wameweza kuanza ujenzi, wapo walioishia katikati, wengine wamemaliza na huku wengine wakiwa hawajaanza kabisa.

Vilevile mwaka huu ume-trend zidi kwenye sekta ya ujenzi hasa kutokana na ukweli kwamba bei ya vifaa vya ujenzi mfano cement na bati ilipanda maradufu.

Kutokana na hayo naomba tupeane uzoefu kwa wale wote walioanza ujnzi wa nyumba zao mwaka 2021 ulifanikiwa vipi kuanza ujenzi na ni kwa namna.

gani ulipambana mpaka kufikia hapo.

Itapendeza zaidi kama utaweka specification za nyumba yako mfano vyumba viwili na sebule na gharama yake mfano milioni 30.

kwani mchanganuo huo utachagiza ari na morali ya wanabodi lakini pia utatuongezea mwanga na kutupa funzo kubwa la kusonga mbele na kutokukata tamaa.

kama sio kuahirisha ahirisha ujenzi wa makazi yetu tarajiwa.

Kwa heshima yenu nawasilisha
Haikuwa kazi rahisi, Nilianza January
Ni nyumba ya vyumba 3, dinning, sitting,public toilet na store
Ishaaalah August 2022 nitafunga mahesabu
IMG-20211030-WA0012.jpg
 
Back
Top Bottom