edward93
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 562
- 1,347
Nakazia hili swali. Tufahamishe mkuu.
Ndio ni muhimu sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia hili swali. Tufahamishe mkuu.
Barikiwa mkuuSiwezi kusema exactly imetumika Tsh ngapi ila ni around 30m.
Kuna wakati nilikuwa siandiki kila kitu. View attachment 2039249
Hii comment ngoja niisevu...itanisaidiaKujenga ni technique..nilipigwa nyumba ya kwanza lakini sasa nimejifunza, kifupi jiweke kidalali sio kiboss..
1. Msingi nawauzia vibarua, tunakubaliana, alafu fundi anasimamia
2. Tofali namuuzia fundi sh 300 japo za juu wengine wanadai nyongeza kidogo
3. Kokoto, nanunua kifusi cha kokoto alafu nachambua..hapo napata kifusi na kokoto
4. Tofali nanunua 950
5. Nondo naenda scrap yard napima zilizopo alafu zile pande ndefu nanunua..
6. Grill nachukua nondo hapo hapo scrap yard nanunua bomba za pembeni tu
7. Mbao za kuezekea nachukua buguruni, ukitaka kuwaweza madalali..nenda na mwanao tu alafu mfanye yy ndio boss, waite pemben waambie nimemleta boss, watakupa bei halisi
8.Bati mara nyingi hazina shortcut
9. Tiles kama unahitaji box chache..mafundi wanazo tena konk sana
10. Wire, mafundi wanazo nzuri tu sema earth rod kanunue copper inakuwa na bei kidogo kwenye 45k kwenda juu..chini ya hapo kafukue chuma hicho
11.Nenda mwenyewe dukani
NB: Nyumba inahitaji usimamizi wako, sio ndugu au rafiki, utalaumu watu bure
Kuwa mkali sana kwenye mali zako, simamia kila eneo..
Kiwanja mbinuko.. 10 kukata ni lazima.1 master room, 2 bed rooms, Kitchen, dining, sebule, public toilet! Location mbezi dsm nmeanza oktoba 2021 hadi hapo 10m imekata. View attachment 2037971
Ni vitu gani hivyo kwa faida ya wengi edward93
Bora kobe anayetembea na nyumba yake hataki umbea kabisa yule mchizi 😂😂😂Ngoja tunywe bia na kitimoto tumejengewa mbinguni nyumba zetu
Bora kobe anayetembea na nyumba yake hataki umbea kabisa yule mchizi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsante kwa ushauri maridadi.Kujenga ni technique..nilipigwa nyumba ya kwanza lakini sasa nimejifunza, kifupi jiweke kidalali sio kiboss..
1. Msingi nawauzia vibarua, tunakubaliana, alafu fundi anasimamia
2. Tofali namuuzia fundi sh 300 japo za juu wengine wanadai nyongeza kidogo
3. Kokoto, nanunua kifusi cha kokoto alafu nachambua..hapo napata kifusi na kokoto
4. Tofali nanunua 950
5. Nondo naenda scrap yard napima zilizopo alafu zile pande ndefu nanunua..
6. Grill nachukua nondo hapo hapo scrap yard nanunua bomba za pembeni tu
7. Mbao za kuezekea nachukua buguruni, ukitaka kuwaweza madalali..nenda na mwanao tu alafu mfanye yy ndio boss, waite pemben waambie nimemleta boss, watakupa bei halisi
8.Bati mara nyingi hazina shortcut
9. Tiles kama unahitaji box chache..mafundi wanazo tena konk sana
10. Wire, mafundi wanazo nzuri tu sema earth rod kanunue copper inakuwa na bei kidogo kwenye 45k kwenda juu..chini ya hapo kafukue chuma hicho
11.Nenda mwenyewe dukani
NB: Nyumba inahitaji usimamizi wako, sio ndugu au rafiki, utalaumu watu bure
Kuwa mkali sana kwenye mali zako, simamia kila eneo..
Hongera sana kamanda.Around 30m.
Maana tofali 3m, bati 3m, mbao za kupaulia na blundering ni 3m Bado cement na fundi nadhani hapo ndo kuna gharama pia nondo milango na madirisha
Mfano cement, rafiki yangu mmoja aliniambia mwanza cement ilifika 20,000/=Shukran! Vifaa vimepanda bei sana hasa hapo kwenye kupaua ndio hatari[emoji2]
Hongera sana mkuu. Natumaini utamalizia mwakani 2022 Mungu akujalieNimeanza mwezi wa nane. Nimemaliza boma la vyumba vitatu viwili master jiko, sehemu ya kula stoo na choo cha public nimeumia 14MView attachment 2038965
Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
Simba dumuHongera sana kamanda.
Ulinunua bati gani ? Bati Bomba, Simba dumu, sunshare au ipi ? Na kwa piece moja ulifanyiwa bei gani ?
Gauge?Simba dumu
Ilikuwa 28k per piece
Kujenga ni technique..nilipigwa nyumba ya kwanza lakini sasa nimejifunza, kifupi jiweke kidalali sio kiboss..
1. Msingi nawauzia vibarua, tunakubaliana, alafu fundi anasimamia
2. Tofali namuuzia fundi sh 300 japo za juu wengine wanadai nyongeza kidogo
3. Kokoto, nanunua kifusi cha kokoto alafu nachambua..hapo napata kifusi na kokoto
4. Tofali nanunua 950
5. Nondo naenda scrap yard napima zilizopo alafu zile pande ndefu nanunua..
6. Grill nachukua nondo hapo hapo scrap yard nanunua bomba za pembeni tu
7. Mbao za kuezekea nachukua buguruni, ukitaka kuwaweza madalali..nenda na mwanao tu alafu mfanye yy ndio boss, waite pemben waambie nimemleta boss, watakupa bei halisi
8.Bati mara nyingi hazina shortcut
9. Tiles kama unahitaji box chache..mafundi wanazo tena konk sana
10. Wire, mafundi wanazo nzuri tu sema earth rod kanunue copper inakuwa na bei kidogo kwenye 45k kwenda juu..chini ya hapo kafukue chuma hicho
11.Nenda mwenyewe dukani
NB: Nyumba inahitaji usimamizi wako, sio ndugu au rafiki, utalaumu watu bure
Kuwa mkali sana kwenye mali zako, simamia kila eneo..
August tena...hio kama ingekua yangu nahamiaHaikuwa kazi rahisi, Nilianza January
Ni nyumba ya vyumba 3, dinning, sitting,public toilet na store
Ishaaalah August 2022 nitafunga mahesabuView attachment 2038646