Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

Safi...so mzeya ukwa benet na mafundi hutaki ujinga....mhandisi hivi two bedroom house inaweza gharimu kiasi gani
Wewe bado unsuliza bei tu?! Hutajenga. Ni hivi Tafuta floor plan Google. Changa ikifika 3m nenda kaanze na msingi then ukipata 300,000/4/5 unapandisha Boma mdogo mdogo. Trust utamaliza bila kujua umewezaje.
 
Nimeanza mwezi wa nane. Nimemaliza boma la vyumba vitatu viwili master jiko, sehemu ya kula stoo na choo cha public nimeumia 14M
IMG_20211002_123746.jpg

Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
 
Wewe bado unsuliza bei tu?! Hutajenga. Ni hivi Tafuta floor plan Google. Changa ikifika 3m nenda kaanze na msingi then ukipata 300,000/4/5 unapandisha Boma mdogo mdogo. Trust utamaliza bila kujua umewezaje.
Ah wee bwana mambo ya kuishia katikati mie sitaki nataka kwanza nikiingia breki ya kwanza nipo kwenye bati.

Dah ila m3 mzeya nyingi hapo nilishapiga threesome kama kumi hivi. Mhm wacha tuu hicho kiwanja kikaage wazi.
 
Kama mpaka hapo umetumia 10M umeupiga mwingi sana maana vifaa ni kichaa Nondo ndio usiseme yaani ni balaa fire, hapo ukitaka iwe ya kuingia hata kwa shida shida unatakiwa isipungue 10M nyingine maana ukiguza mbao za treated na zenyewe ni balaa na nusu, hujaongelea bati hapo maana kadirio la chini kwa mjengo huo sio chini ya 3.5 Alaf
 
Shukran! Vifaa vimepanda bei sana hasa hapo kwenye kupaua ndio hatari[emoji2]
 
Back
Top Bottom