Me nimeanza Sept. Nipo msingi napambana January niinue Boma kama hivyo inafanana requirements kama yako
Imekugharimu kiasi gani hadi hizo coz 3 za juu nataka nifike huko mkuuKomaa mkuu utatoboa tu mdgo mdgo! Nkushauri anza kununua tofali zote zinazohtajika then jichange muite fundi then akikisha upige mpka lenta, usiache boma muda mrefu bila lenta!
Nimeona kama kuna na septic umechimba na kufunika, ni sahihi? Na kama ni sahihi ipo included kwenye hiyo ten?
Imekugharimu kiasi gani hadi hizo coz 3 za juu nataka nifike huko mkuu
Safi...so mzeya ukwa benet na mafundi hutaki ujinga....mhandisi hivi two bedroom house inaweza gharimu kiasi ganiMm ni mhandisi so fundi kwangu ilikua rahis kumcontrol na nlimlipa hela yke bila kumlalia sana! Na pia kuna baadhi ya vitu uwa vinaongeza gharama ya ujenz so nlijitahid kuviepuka as possible.
Safi...so mzeya ukwa benet na mafundi hutaki ujinga....mhandisi hivi two bedroom house inaweza gharimu kiasi gani
1 master room, 2 bed rooms, Kitchen, dining, sebule, public toilet! Location mbezi dsm nmeanza oktoba 2021 hadi hapo 10m imekata. View attachment 2037971
Nimekwamia kwenye lenta,ngoja niangalie January itakuwaje...
Haikuwa kazi rahisi, Nilianza JanuaryHeshima sana wakuu,
Tumshukuru Mungu mwingi wa rehema kwa kutupatia uhai mpaka sasa tunapoelekea kuukamilisha mwaka 2021. Najua kwamba wapo wengi walitamani.
kuanza ujenzi wa nyumba zao na ni ukweli usiopingika kwamba baadhi yao wameweza kuanza ujenzi, wapo walioishia katikati, wengine wamemaliza na huku wengine wakiwa hawajaanza kabisa.
Vilevile mwaka huu ume-trend zidi kwenye sekta ya ujenzi hasa kutokana na ukweli kwamba bei ya vifaa vya ujenzi mfano cement na bati ilipanda maradufu.
Kutokana na hayo naomba tupeane uzoefu kwa wale wote walioanza ujnzi wa nyumba zao mwaka 2021 ulifanikiwa vipi kuanza ujenzi na ni kwa namna.
gani ulipambana mpaka kufikia hapo.
Itapendeza zaidi kama utaweka specification za nyumba yako mfano vyumba viwili na sebule na gharama yake mfano milioni 30.
kwani mchanganuo huo utachagiza ari na morali ya wanabodi lakini pia utatuongezea mwanga na kutupa funzo kubwa la kusonga mbele na kutokukata tamaa.
kama sio kuahirisha ahirisha ujenzi wa makazi yetu tarajiwa.
Kwa heshima yenu nawasilisha
Hongera jemedari
Hiko pemben n kisima
10 million lah umejengaje bro, hapo kumalizia bado kam 13 had 15
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Kwanini mtaalamu?usiache boma muda mrefu bila lenta!
Na wewe hujaweka lenta nini maana umeuliza kwa bashasha kweli ha haKwanini mtaalamu?
Sijaweka mkuu, nina kama mwaka hivi nimetelekezaNa wewe hujaweka lenta nini maana umeuliza kwa bashasha kweli ha ha
Kwanini mtaalamu?
Ha ha ha hongera lkn ni hatua kubwa, Mungu akubariki ukapate hela za kumaliziaSijaweka mkuu, nina kama mwaka hivi nimetelekeza
site [emoji1][emoji1]