Mbona kuna mahali umesema 10m? Nilitaka nihoji hio 10m hapo nikahisi labda ardhi haiko levelMm nlianza msingi mpka hapo bila kusimama so siwez kukupa actual cost zenye uhalisia sana ila nadhani ni kama 6m na point hivi
Wewe bado unsuliza bei tu?! Hutajenga. Ni hivi Tafuta floor plan Google. Changa ikifika 3m nenda kaanze na msingi then ukipata 300,000/4/5 unapandisha Boma mdogo mdogo. Trust utamaliza bila kujua umewezaje.Safi...so mzeya ukwa benet na mafundi hutaki ujinga....mhandisi hivi two bedroom house inaweza gharimu kiasi gani
Kimjengo kitamu hikiHaikuwa kazi rahisi, Nilianza January
Ni nyumba ya vyumba 3, dinning, sitting,public toilet na store
Ishaaalah August 2022 nitafunga mahesabuView attachment 2038646
Asante sana Eng.Kuzuia deflection ( ukuta kupinda kuingia ndani au kutoka nje) kutokana na subsidence ya ardhi unaweza usione kwa macho lkn utokea! Hi hali usababisha nyumba kuwa nyufa.
Amina,Ha ha ha hongera lkn ni hatua kubwa, Mungu akubariki ukapate hela za kumalizia
Ah wee bwana mambo ya kuishia katikati mie sitaki nataka kwanza nikiingia breki ya kwanza nipo kwenye bati.Wewe bado unsuliza bei tu?! Hutajenga. Ni hivi Tafuta floor plan Google. Changa ikifika 3m nenda kaanze na msingi then ukipata 300,000/4/5 unapandisha Boma mdogo mdogo. Trust utamaliza bila kujua umewezaje.
Mungu akujalie kiongoziHaikuwa kazi rahisi, Nilianza January
Ni nyumba ya vyumba 3, dinning, sitting,public toilet na store
Ishaaalah August 2022 nitafunga mahesabuView attachment 2038646
Mbona kuna mahali umesema 10m? Nilitaka nihoji hio 10m hapo nikahisi labda ardhi haiko level
Ntakuita kwangu unipe ushauri ndugu mhandisi[emoji848]Mm ni mhandisi so fundi kwangu ilikua rahis kumcontrol na nlimlipa hela yke bila kumlalia sana! Na pia kuna baadhi ya vitu uwa vinaongeza gharama ya ujenz so nlijitahid kuviepuka as possible.
Ukiacha bila lenta inakuwajeKomaa mkuu utatoboa tu mdgo mdgo! Nkushauri anza kununua tofali zote zinazohtajika then jichange muite fundi then akikisha upige mpka lenta, usiache boma muda mrefu bila lenta!
Hongera sana mkuu.Haikuwa kazi rahisi, Nilianza January
Ni nyumba ya vyumba 3, dinning, sitting,public toilet na store
Ishaaalah August 2022 nitafunga mahesabuView attachment 2038646
Ntakuita kwangu unipe ushauri ndugu mhandisi[emoji848]
Asante mkuu nimeona ....ntakuomba ushauri soon nikienda siteNo problem! Kuhusu ukiacha bila lenta inakuaje nmeshajibu hapo juu!
Kama mpaka hapo umetumia 10M umeupiga mwingi sana maana vifaa ni kichaa Nondo ndio usiseme yaani ni balaa fire, hapo ukitaka iwe ya kuingia hata kwa shida shida unatakiwa isipungue 10M nyingine maana ukiguza mbao za treated na zenyewe ni balaa na nusu, hujaongelea bati hapo maana kadirio la chini kwa mjengo huo sio chini ya 3.5 Alaf
Siwezi kusema exactly imetumika Tsh ngapi ila ni around 30m.Hongera sana mkuu.
Mpaka hapa umetumia kiasi gani ?
Around 30m.Mungu akujalie kiongozi
Na wewe mpaka hapo umetumia kama kiasi gani?
Nakazia hili swali. Tufahamishe mkuu.Je chini ulifunga mkanda kwa nondo?