Nchi za Afrika haziendelei kwasababu
1. Kuwepo kwa katiba mbaya ambayo inawaruhusu viongozi wawe na sauti kuliko katiba na sheria
2. Sheria mbovu
Hata wewe ungekuwa raisi usingeweza kusaidia bila kubadilisha katiba na sheria sbb wanadamu muda wetu wa kuishi ni mfupi sana. Utaondoka mambo yale yale
N.B
- Bunge linatakiwa lijitegemee
- Polisi wanatakiwa wawe na elimu kuanzia form diploma mpk chuo na polisi lijitegemee hakuna kufungamana na siasa
- JWTZ linatakiwa liwe na watu waliomaliza diploma na degree
- NEC inatakiwa ijitegemee
- Katiba irekebishwe ambayo itamuondolea kiongozi kutokuwa na kinga ya kushitakiwa. Hapa raisi akifanya ufisadi au kusaini mkataba mbovu ashitakiwe na kutaifishwa mali zake. Hii kwa viongozi hadi wa chini.
- Sheria zipitiwe upya mojawapo ya sheria ni kwamba mtu akifanya ufisadi anataifishwa, anafukuzwa kazi na kulipa faini km fidia
- Kuwepo na vyuo vya ufundi
- Kuwepo na vyuo vya mpira