Waliojipatia Milioni 280 kwa njia ya Mtandao watozwa Faini ya Laki Tano

Uko sahihi mkuu katiba ndo mwongozo wa nchi ikiundwa vizuri na kufuatwa
 
Tuibe hela nyingi hizi za chapati wangefungwa miaka kama 30 hivi ola hayo mamilioni wakifungwa miaka 30 kama wameyachimbia si yatapotea na fursa itakua imezikwa. Wasifungwe wanakitu hawa
 
Naam hao wako 25 na kila mmoja analipa 6m kwa Dpp ndio anatoka

Na kesi zenyewe ni za kubumba tu jazina ushahidi kama huyo Ashrafu ni Fundi simu amechukuliwa akaunganishwa na hao Tafadhali nitumie
 
Jenerali ulimwengu ,amekuwa akikumbusha kwamba nchi hii ngumu Sana tue tunamwelewa
 
Watanzania ni wapumbavu, mtu hajasoma habari nzima na kujua kuwa wana makubaliano ya kuzilipa na DPP kitu ambacho kipo kisheria kabisa
 
Anachosema hakimu pale mbele ya mahakama ndicho kinachofanyika, hakuna kitakachofanyika pembeni kama maamuzi afu asikisema mbele ya mahakama. Hata hivyo sio mara ya kwanza Tz kuwa na upumbavu na namna hiyo
Hujatumia akili, maamuzi yaliyofikiwa na DPP ndo final, mahakamani yanaenda andikishwa tu
 
Huko kwa DPP ndiko kesi imeishia, kuna mawili either washtakiwa wamefinywa mali zote walizokua nazo au limepigwa pande la mgao afu huku raia tunazugwa...

Am just chilling here in Liverpool.. Hello Tanzanians 😎😎
Linapigwaje pande la mgao wakati hizo pesa zapaswa rudishwa zilipotolewa au zilipoleta hasara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…