Waliojiweka madarakani bado wana kiburi. Kwanini wameendelea kuteka, kumficha Polepole na kesi ya Lissu imewekwa kapuni?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,705
Reaction score
65,343
Nilidhani MO29 imetoa funzo kwa serikali hii haramu, lkn inavyoonekana bado wamekaza mafuvu huku wakimtegemea Mafufu kuwahadaa wananchi.

Juzi juzi wamemteka Mwambe. Bila ya familia ya Mwambe kupiga kelele, Mwambe angekuwa kama Polepole.

Sote tunajua Polepole ameshiliwa na hawa hawa maharamu, kwann haachiliwi? Unyama huu mpk lini?

Kesi ya mchongo ya Lisu kimsingi imekwisha, maana mwalimu wa sheria (Lisu) amewabagaza na kuwachakaza mawakili wa serikali mpk wanaona aibu kutembea mitaani. Sasa kwann haipangiwi siku ya kuhitimishwa? Kuna fununu chini ya kapeti kuwa wanaandaa hukumu feki ili kulinda brand ya mawakili feki wa serikali pamoja na ofisi ya DPP.

Ndugu watanzania, hii serikali haramu isipolazimishwa kuondoka, hakuna aliye salama.

Karibuni sana December 25 kwenye maandamano makubwa ya kuiondoa serikali haramu.
 
Kwani Mh Polepole alirudi lini nchini? Na uyo Lissu ana kesi ya uhaini ataachiliwa vipi.
 
Nilidhani MO29 imetoa funzo kwa serikali hii haramu, lkn inavyoonekana bado wamekaza mafuvu huku wakimtegemea Mafufu kuwahadaa wananchi.

Juzi juzi wamemteka Mwambe. Bila ya familia ya Mwambe kupiga kelele, Mwambe angekuwa kama Polepole.

Sote tunajua Polepole ameshiliwa na hawa hawa maharamu, kwann haachiliwi? Unyama huu mpk lini?

Kesi ya mchongo ya Lisu kimsingi imekwisha, maana mwalimu wa sheria (Lisu) amewabagaza na kuwachakaza mawakili wa serikali mpk wanaona aibu kutembea mitaani. Sasa kwann haipangiwi siku ya kuhitimishwa? Kuna fununu chini ya kapeti kuwa wanaandaa hukumu feki ili kulinda brand ya mawakili feki wa serikali pamoja na ofisi ya DPP.

Ndugu watanzania, hii serikali haramu isipolazimishwa kuondoka, hakuna aliye salama.

Karibuni sana December 25 kwenye maandamano makubwa ya kuiondoa serikali haramu.
heshimu mamlaka ilio juu
 
Serikali haramu iache kuteka na kuuwa watu wazuri mara moja na mateka wote waachiliwe na wauwaji wawajibishwe hakuna aliye juu ya sheria.

Kuendelea kukaidi ni kuchochea moto zaidi kwani mawe na upepo utapiga kelele.
 
Mwenye Dhambi za Mauaji ya Kimbari yeye anaoana poa!
 
Back
Top Bottom