Waliokamatwa kwa tuhuma za kununua Makahaba Ubungo kumburuza mahakamani Mkuu wa Wilaya kwa kudhalilishwa! Wadai walifuatwa Guest!

Noma sana sipati picha unaamshwa umelala unaambiwa upande kwenye karandiga hahahahahaha
 
Hizi nafasi za mkuu wa wilaya na mkoa ziwe zinatangazwa watu wanafanyiwa usaili, tunaletewa watu wa hovyo sana, ipo haja ya kufanya global recruitment, tuaniriwa wahindi wakenya na wazungu kwenye hizi post wabongo tumwekuwa watu wa hovyo sana, kwahiyo makahaba wako sinza na riverside tu, wale kempisky je?
 
Bado ni kosa kumfata mtu guest au kwenye chumba hata ukimkuta na mwanamke atakuwa amefanya kosa gani? Naona wanakosea sana
Inategemea mfano upo na Mke wa Mtu, Mwanafunzi etc..

Ni kosa kuingilia faragha ya mtu/watu.
 
Ila Kiukweli, Mimi hao Waliodhalilishwa mpaka Muda huu Sijawajua Bado...!

Embu Wajitokeze Basi Hadharani tuwatambue....hao Wanunuaji Wa Makahaba...

Vitu vingine bwana... Kila unavyojitetea ndo Unajichoresha Zaidi...!
 
Kasheshe imeanza
 
Ila Kiukweli, Mimi hao Waliodhalilishwa mpaka Muda huu Sijawajua Bado...!

Embu Wajitokeze Basi Hadharani tuwatambue....hao Wanunuaji Wa Makahaba...

Vitu vingine bwana... Kila unavyojitetea ndo Unajichoresha Zaidi...!
Zile ni guest mjomba wengine yale ni maficho yao ya kuchakata mbususu, wengine hawataki kuonekana town hovyo wanajichimbia mafichoni huko.

Wewe unaenda kuwachomoa na makamera kibao.
Wengine wana vibunda hatari, utasanda.
 
Juzi kati nilimuambia jamaa yangu mmoja asijaribu kununua kahaba, atajikuta mikononi mwa polisi. Makahaba mengini ni feki, ni askari polisi wa kike wapo kazini kwenye doria kunasa wanaume wanaonunua makahaba. Hata hivyo makahaba yenye ukiyapata ni shughuli pevu kuyashughulikia ipasavyo, yanadai uongeze hela huku shughuli ya kuridhika haijafanyika, wamekaa kitapeli hawana mapenzi ya kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…