binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Viongozi wetu aiseee!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sana sipati picha unaamshwa umelala unaambiwa upande kwenye karandiga hahahahahahaKutofuata Sheria ni ugonjwa kwa watanzania wengi mpaka viongozi.
Unaanzishaje operation bila kufanya impact na legal analysis?
Makahaba hawana chapa, katiba inalinda faragha ya mtu, yeye na askari wake aligunduaje kuwa wale ndani ya gest house au lodge walikuwa makahaba na siyo wapenzi?
I wish I could be out of this career that am serving in. 🙏
Inategemea mfano upo na Mke wa Mtu, Mwanafunzi etc..Bado ni kosa kumfata mtu guest au kwenye chumba hata ukimkuta na mwanamke atakuwa amefanya kosa gani? Naona wanakosea sana
Aburuzwe tu mahakamani hakuna namna mpumbavu huyo DCI like it, kuna RC mwingine nimeona mitandaoni anatoa amri police wakasali, wakianza kuburuzwa mahakamani wataanza kufuata sheria
Ashtakiwe tu akili imkae sawa. Anahangaika na wanawake wasiomhusu wakati mkewe huko anajiuza katika maofisi.Bado ni kosa kumfata mtu guest au kwenye chumba hata ukimkuta na mwanamke atakuwa amefanya kosa gani? Naona wanakosea sana
Kasheshe imeanzaWasalaam!
Baada ya Mkuu wa wilaya ya ubungo kuendesha zoezi la kukamata watu wanojiuza na wanao daiwa kununua makahaba wilayani humo!
Baadhi yao wamedai kufatwa nyumba za kulala wageni na kwenye vyumba vyao na kukamatwa wakituhumiwa kufanya biashara ya ukahaba uku wakidai kuwa wamesingiziwa na kudhalilishwa kwani walikuwa wamelala na wengine walikuwa na wapenzi wao wamepumzika!
Wameeleza kuwa wanajipanga wiki hii kufungua Mashitaka dhidi ya Mkuu wa wilaya binafsi na sio ofisi ya Mkuu wa wilaya kwani wao wanadai kuwa Mkuu wa wilaya ndio alikuwa ana washurutisha jeshi la polisi kuwadhalilisha na waandishi kuwapiga picha na wao hawakupewa nafasi ya kujieleza bali waliunganishwa na makahaba kwenye karandiga!
Wengine wamedai kuwa walikuwa wamelala ili kesho warudi kwa familia zao mikaoni wanashangaa kudhalilishwa na kufedheshwa na Bwana Yahaya aliyejitambulisha kama mkuu wa wilaya!
Wamesema wamesha waambia mawakili wao kumuandikia barua ya kumtaka mkuu wa wilaya kuwasafisha mbele ya jamii kama alivyo wadhalilisha na baada ya siku saba watafungua kesi ya madai dhidi ya Bwana Yahaya na baadhi ya polisi waliokuwa kwenye lile tukio!
N:B Mh Rais alishasema kama mkuu wa wilaya au mkoa akitumia madaraka vibaya yatakayomkuta yanamuhusu yeye sio serikali!
Zile ni guest mjomba wengine yale ni maficho yao ya kuchakata mbususu, wengine hawataki kuonekana town hovyo wanajichimbia mafichoni huko.Ila Kiukweli, Mimi hao Waliodhalilishwa mpaka Muda huu Sijawajua Bado...!
Embu Wajitokeze Basi Hadharani tuwatambue....hao Wanunuaji Wa Makahaba...
Vitu vingine bwana... Kila unavyojitetea ndo Unajichoresha Zaidi...!
Hii hoja sijaielewa iko upande upi kiongozi?Ila Kiukweli, Mimi hao Waliodhalilishwa mpaka Muda huu Sijawajua Bado...!
Embu Wajitokeze Basi Hadharani tuwatambue....hao Wanunuaji Wa Makahaba...
Vitu vingine bwana... Kila unavyojitetea ndo Unajichoresha Zaidi...!