Waliokamatwa kwa tuhuma za kununua Makahaba Ubungo kumburuza mahakamani Mkuu wa Wilaya kwa kudhalilishwa! Wadai walifuatwa Guest!

Wawe serous nipo pamoja nao
Hata madada.pia wanaweza mfungulia kesi na wakashinda na huenda wakalipwa fidia kubwa

Wakihitaji mwanasheria wa bure wanishirikishe tu nina connection kubwa sana tls pale
 
Sababu wengine ni Malaya Feki Matapeli Wezi anakulambisha ku.ma kwenye mbo.o alafu anadai Hela ukimpa anakulambisha tena alafu dakika 2 nyingi anakwambia Muda umeisha ongeza hela anadai tena usipompa anaanza kuvaa sasa huo ni Wizi na utapeli kabisa
Utapeli upo kila sehemu hata serikalini. Shida ni kwanini unavamia watu ndani ya vyumba?.
 
Nahisi mkuu alikuwa na lengo la kufumania akakuta hola, hivyo jumba bovu likawaangukia wasiohusika๐Ÿ˜€
 
Ninamshauri Mama Samia ampige chini huyu mkuu wa wilaya. Alichokifanya ni kinyume kabisa cha sheria. Halafu hakuna kiongozi aliyewahi kupambana na malaya akashinda. Huo muda wa kupambana na malaya angefanya mambo mengine ya maendeleo kwa wananchi wa Ubungo.
 
Pole Askari polisi.
Tunajua unatii amri tu siyo matakwa yako.
 
Nilishangaa anawagongea milango na kuwaweka Chini ya Ulinzi. Kuna mmama alikuwa na mume wake ila hawakumsikiliza wakamuweka Chini ya Ulinzi na kuondoka naye
sometimes police huwa wanaudhi sana, unakuta wanakamata na wasiohusika wanaenda kuchuja huko kituoni, ni usumbufu kwa wasiohusika
 
Nilishangaa anawagongea milango na kuwaweka Chini ya Ulinzi. Kuna mmama alikuwa na mume wake ila hawakumsikiliza wakamuweka Chini ya Ulinzi na kuondoka naye
sometimes police huwa wanaudhi sana, unakuta wanakamata na wasiohusika wanaenda kuchuja huko kituoni, ni usumbufu kwa wasiohusika
 
Tatiao kubwa ni CCM.
Nafasi kama hizo walefanya kuwa ni nafasi za CCM na wanazitoa kama zawadi kwa makada.kwanini wasitafutwe watu wenye uwezo wapewe nafasi kama hizo.

Usikute huyo jamaa hata formโ€™6 hajamaliza, anakuwa kama fukoshima.

Watz wenye uwezo wapo, for as long as sio CCM , basi hawapewi.

Kweli tatizo la msingi Tanzania ni ukahaba ?
Kama taifa ni aibu sana
 
Hivi mheshimiwa Raisi haoni kuwa hayo ni matumizi mabaya ya rasilimali za uma?

Hivi kuna kosa gani mtu kulala gesti na mpenzi wake?
Kosa la kwenda guest๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ