Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Kwa akili ya kawaida tu, hivi anafikiri ataweza komesha ukahaba ambao ndio biashara kongwe kabisa duniani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda na yeye anataka ku trend kama Silaa na Makanda wanavyo trend!!Huyu mkuu wa wilaya hizo bills za mafuta anazotumia kufata watu guest house bora wangenunua mafuta ya ambulance tuokoe wagonjwa
Utapeli upo kila sehemu hata serikalini. Shida ni kwanini unavamia watu ndani ya vyumba?.Sababu wengine ni Malaya Feki Matapeli Wezi anakulambisha ku.ma kwenye mbo.o alafu anadai Hela ukimpa anakulambisha tena alafu dakika 2 nyingi anakwambia Muda umeisha ongeza hela anadai tena usipompa anaanza kuvaa sasa huo ni Wizi na utapeli kabisa
Nahisi mkuu alikuwa na lengo la kufumania akakuta hola, hivyo jumba bovu likawaangukia wasiohusika😀Wasalaam!
Baada ya Mkuu wa wilaya ya ubungo kuendesha zoezi la kukamata watu wanojiuza na wanao daiwa kununua makahaba wilayani humo!
Baadhi yao wamedai kufatwa nyumba za kulala wageni na kwenye vyumba vyao na kukamatwa wakituhumiwa kufanya biashara ya ukahaba uku wakidai kuwa wamesingiziwa na kudhalilishwa kwani walikuwa wamelala na wengine walikuwa na wapenzi wao wamepumzika!
Wameeleza kuwa wanajipanga wiki hii kufungua Mashitaka dhidi ya Mkuu wa wilaya binafsi na sio ofisi ya Mkuu wa wilaya kwani wao wanadai kuwa Mkuu wa wilaya ndio alikuwa ana washurutisha jeshi la polisi kuwadhalilisha na waandishi kuwapiga picha na wao hawakupewa nafasi ya kujieleza bali waliunganishwa na makahaba kwenye karandiga!
Wengine wamedai kuwa walikuwa wamelala ili kesho warudi kwa familia zao mikaoni wanashangaa kudhalilishwa na kufedheshwa na Bwana Yahaya aliyejitambulisha kama mkuu wa wilaya!
Wamesema wamesha waambia mawakili wao kumuandikia barua ya kumtaka mkuu wa wilaya kuwasafisha mbele ya jamii kama alivyo wadhalilisha na baada ya siku saba watafungua kesi ya madai dhidi ya Bwana Yahaya na baadhi ya polisi waliokuwa kwenye lile tukio!
N:B Mh Rais alishasema kama mkuu wa wilaya au mkoa akitumia madaraka vibaya yatakayomkuta yanamuhusu yeye sio serikali!
Kutofuata Sheria ni ugonjwa kwa watanzania wengi mpaka viongozi.
Unaanzishaje operation bila kufanya impact na legal analysis?
Makahaba hawana chapa, katiba inalinda faragha ya mtu, yeye na askari wake aligunduaje kuwa wale ndani ya gest house au lodge walikuwa makahaba na siyo wapenzi?
I wish I could be out of this career that am serving in. 🙏
ItakuaLabda na yeye anataka ku trend kama Silaa na Makanda wanavyo trend!!
AaahaaaLabda alitaka atrend hahahahaha
sometimes police huwa wanaudhi sana, unakuta wanakamata na wasiohusika wanaenda kuchuja huko kituoni, ni usumbufu kwa wasiohusikaNilishangaa anawagongea milango na kuwaweka Chini ya Ulinzi. Kuna mmama alikuwa na mume wake ila hawakumsikiliza wakamuweka Chini ya Ulinzi na kuondoka naye
sometimes police huwa wanaudhi sana, unakuta wanakamata na wasiohusika wanaenda kuchuja huko kituoni, ni usumbufu kwa wasiohusikaNilishangaa anawagongea milango na kuwaweka Chini ya Ulinzi. Kuna mmama alikuwa na mume wake ila hawakumsikiliza wakamuweka Chini ya Ulinzi na kuondoka naye
Kwa hiyo anachokifanya ni sawa kuvamia vyumbani watu wakiwa wamelala?Niko upande wa DC
Shida ni sababu wanatapeli WatuUtapeli upo kila sehemu hata serikalini. Shida ni kwanini unavamia watu ndani ya vyumba?.
Kwa HIO wakatombanie Wapi?Kosa ni kuruhusu guest huku hutaki watu waendelee huko.
Tatiao kubwa ni CCM.Kutofuata Sheria ni ugonjwa kwa watanzania wengi mpaka viongozi.
Unaanzishaje operation bila kufanya impact na legal analysis?
Makahaba hawana chapa, katiba inalinda faragha ya mtu, yeye na askari wake aligunduaje kuwa wale ndani ya gest house au lodge walikuwa makahaba na siyo wapenzi?
I wish I could be out of this career that am serving in. 🙏