Waliokatwa vidole baada ya kuonekana wamepiga kura Roman Catholic (RC) haina cha kuongea?

President of China

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
34,781
Reaction score
94,550
Kuna wananchi walitimiza haki yao ya kupiga kura lakini walikatwa vidole vyao. Huu unyama uliofanywa kwenye tamko la TEC sijaona wakilikemea.

Je, waliowakata wananchi hao walitumwa na nani? Labda watu hao sio waumini wa Katoliki ni waumini wa Protestanti? Kwanini TEC hawakemei unyama huo?

Mimi ni maswali yangu hayo. AU tunarudi kwenye Crused ya kimya kimya?

Hayo ni maswali magumu ni wenye akili timamu tu wanaweza kufikiria na kutafuta namna ya kuyajibu.
 
TEC kuna shida sehemu na wanamchango mkubwa kutufikisha hapa pia....

Leo hii taifa likidondoka TEC hawawezi kukwepa lawama ila wakumbuke wanatoa tafakuri na matamko kungali shwari kidogo pakichangamka kidogo tu hata huo mda hawataupata.
 
Kule Rwanda hao hao wakatoliki walisababisha mauaji ya kibali kwa kuendekeza mizaha mizaha hivi hivi. Father Kitima anajulikana yeye ni mwanachama wa CHADEMA 100%.
 
Kuna wananchi walitimiza haki yao ya kupiga kura lakini walikatwa vidole vyao. Huu unyama uliofanywa kwenye tamko la TEC sijaona wakilikemea.

Je, waliowakata wananchi hao walitumwa na nani? Labda watu hao sio waumini wa Katoliki ni waumini wa Protestanti? Kwanini TEC hawakemei unyama huo?

Mimi ni maswali yangu hayo. AU tunarudi kwenye Crused ya kimya kimya?

Hayo ni maswali magumu ni wenye akili timamu tu wanaweza kufikiria na kutafuta namna ya kuyajibu.
Sijaona hata kipande kimoja cha picha mjongeo cha Mtanzania aliyekatwa kidole kwa kupiga kura zaidi ya mamia ya vipande vya picha mjongeo vya mauaji ya kukusudia ya Watanzania wasio na hatia.

Tafadhali, naomba uweke hapa ushahidi halisi wa waliokatwa vidole.
 
Picha maelfu kwa maelfu zimewekwa kila kona. Au umeamua kujizima data?
 
It's working man, the date has been scheduled.

Mtazitapika hizi maiti.
 
Kuna wananchi walitimiza haki yao ya kupiga kura lakini walikatwa vidole vyao. Huu unyama uliofanywa kwenye tamko la TEC sijaona wakilikemea.

Je, waliowakata wananchi hao walitumwa na nani? Labda watu hao sio waumini wa Katoliki ni waumini wa Protestanti? Kwanini TEC hawakemei unyama huo?

Mimi ni maswali yangu hayo. AU tunarudi kwenye Crused ya kimya kimya?

Hayo ni maswali magumu ni wenye akili timamu tu wanaweza kufikiria na kutafuta namna ya kuyajibu.
Kama hilo limetokea je umeshajaribu kushirikisha ubongo japo mara moja kujua nini kisababishi?
 
Vyovyote vile. Kumkata kidole mtu ametoka kupiga kura ni mwendelezo wa mbinu zao za crused kuua wananchi. Kila mtu anajua nani na mwazilishi wa crused.
 
Back
Top Bottom