Sijaona popote, weka hapa tuone, kuona ni kuamini.Picha maelfu kwa maelfu zimewekwa kila kona. Au umeamua kujizima data?
Ulishawahi kumuona Mungu?Sijaona popote, weka hapa tuone, kuona ni kuamini.
Walishauri before uchaguzi maafa yatakuja kwa sheria hizo hizo, na wakapendekeza zirelebishwe ila wahusika wakakaza fuvuKuna wananchi walitimiza haki yao ya kupiga kura lakini walikatwa vidole vyao. Huu unyama uliofanywa kwenye tamko la TEC sijaona wakilikemea.
Je, waliowakata wananchi hao walitumwa na nani? Labda watu hao sio waumini wa Katoliki ni waumini wa Protestanti? Kwanini TEC hawakemei unyama huo?
Mimi ni maswali yangu hayo. AU tunarudi kwenye Crused ya kimya kimya?
Hayo ni maswali magumu ni wenye akili timamu tu wanaweza kufikiria na kutafuta namna ya kuyajibu.
Kwahiyo waliopigwa risasi shega tu. Basi safi ngoma drooWalishauri before uchaguzi maafa yatakuja kwa sheria hizo hizo, na wakapendekeza zirelebishwe ila wahusika wakakaza fuvu
Mimi ni "atheist", kama unajua maana yake lakini.Ulishawahi kumuona Mungu?
Hebu tuwekee ushahidi wa waliokatwa vidole maana picha za vifo tumeziona za kutosha tena zenye kuumiza mioyo.Mimi siyo Baraza la Maaskofu wa Katoliki kaka. Je, tunakubaliana kuwa Katoliki ni wabaguzi?
Hivi nyie wengine fikra za kawaida huwa mnazifukuza ziende likizo ili mfikie matamanio mliyokuwa nayo,yawe ya kiharamia,kifisadi,kishetani au ya kijambazi.Na hayo yote ndiyo yanayolitafuna taifa hili badilika,badili mtazamo na mazoea ya nyakati zote hiki ni kipindi cha pekee ukikataa kubadilika kwa hiyari mabadiliko yatakuamuru kubadilika kwa lazima!Vyovyote vile. Kumkata kidole mtu ametoka kupiga kura ni mwendelezo wa mbinu zao za crused kuua wananchi. Kila mtu anajua nani na mwazilishi wa crused.
Kwahiyo wewe atheist unaamini kuwa unaakili? Kama upo na akili umeshawahi kuziona?Mimi ni "atheist", kama unajua maana yake lakini.
Weka picha mjongeo zikionyesha Watanzania waliokatwa vidole kwa kupiga kura.
Nakushangaa wewe unahalalisha watu kukatwa vidole. Hakika wewe ni mnyama.Hivi nyie wengine fikra za kawaida huwa mnazifukuza ziende likizo ili mfikie matamanio mliyokuwa nayo,yawe ya kiharamia,kifisadi,kishetani au ya kijambazi.Na hayo yote ndiyo yanayolitafuna taifa hili badilika,badili mtazamo na mazoea ya nyakati zote hiki ni kipindi cha pekee ukikataa kubadilika kwa hiyari mabadiliko yatakuamuru kubadilika kwa lazima!
Huna akiliUlishawahi kumuona Mungu?
Vipi aliye halalisha kufungua bucha la vijana nguvu kazi,taifa la leo,kesho na keshokutwa ndani ya taifa letu.?Hata kama unahusika kukiri kwako na kujutia uovu huo ndiyo namna ya kuliponya taifa.Nakushangaa wewe unahalalisha watu kukatwa vidole. Hakika wewe ni mnyama.
Wewe unazo KwikwikwikwikwiHuna akili
Yote ni unyama, ndio maana nauliza kwanini TEC wamewapotezea waliokatwa vidole?Vipi aliye halalisha kufungua bucha la vijana nguvu kazi,taifa la leo,kesho na keshokutwa ndani ya taifa letu.?Hata kama unahusika kukiri kwako na kujutia uovu huo ndiyo namna ya kuliponya taifa.
Kwako hilo ndiyo jambo kubwa zaidi?vipi ukatili wa kuyakatisha maisha kikatili,iwe kwa dhuluma ya waliostahili kulinda mali na uhai,ama iwee kupitia mateso ya kudhamiria ili kufikia malengo ya wenye ubinafsi na wenye kujipa thamani zaidi ya wengine ama tusikilize porojo za hawa wanaoliharibu taifa,sii ajabuhata wewe ni mmoja wao!Yote ni unyama, ndio maana nauliza kwanini TEC wamewapotezea waliokatwa vidole?
Kukatwa kidole unaona ni jambo dogo? 😭😭😭😭😭Ulishawahi kukatwa kidole?Kwako hilo ndiyo jambo kubwa zaidi?vipi ukatili wa kuyakatisha maisha kikatili,iwe kwa dhuluma ya waliostahili kulinda mali na uhai,ama iwee kupitia mateso ya kudhamiria ili kufikia malengo ya wenye ubinafsi na wenye kujipa thamani zaidi ya wengine ama tusikilize porojo za hawa wanaoliharibu taifa,sii ajabuhata wewe ni mmoja wao!