Waliokatwa vidole baada ya kuonekana wamepiga kura Roman Catholic (RC) haina cha kuongea?

Waliokatwa vidole baada ya kuonekana wamepiga kura Roman Catholic (RC) haina cha kuongea?

TEC kuna shida sehemu na wanamchango mkubwa kutufikisha hapa pia....

Leo hii taifa likidondoka TEC hawawezi kukwepa lawama ila wakumbuke wanatoa tafakuri na matamko kungali shwari kidogo pakichangamka kidogo tu hata huo mda hawataupata.
Samahani TEC wamefanya kosa gani?
 
Kuna wananchi walitimiza haki yao ya kupiga kura lakini walikatwa vidole vyao. Huu unyama uliofanywa kwenye tamko la TEC sijaona wakilikemea.

Je, waliowakata wananchi hao walitumwa na nani? Labda watu hao sio waumini wa Katoliki ni waumini wa Protestanti? Kwanini TEC hawakemei unyama huo?

Mimi ni maswali yangu hayo. AU tunarudi kwenye Crused ya kimya kimya?

Hayo ni maswali magumu ni wenye akili timamu tu wanaweza kufikiria na kutafuta namna ya kuyajibu.
Utaanzisha kila aina ya uzi, lakini unajisumbua tu

Suluhu ya hatima mbaya ya mama yenu na serikali yake feki, ya kishenzi na iliyoingia kwa gharama ya damu za ndugu zetu, watoto wenu, mama na baba zetu ni Moja tu: KUTUBU HADHARANI NA KUACHA UJINGA WANAOENDELEA KUUFANYA!!

VINGINEVYO: Kaeni mkao wa kulipia kwa damu na uchungu mkuu hizi damu mlizozimwaga kwa kuwa imeandikwa: AUAE KWA UPANGA, NAYE ATAKUFA KWA NAMNA HIYO HIYO YA UPANGA...!

Karma is bitch...
 
Nani kakwambia TEC ni Bakwata. Mimi ni Msabato nasali jumamosi. Sisi tunajua Wakatoliki ni wapinga Kristo wanaabudu sanamu.
mbona hata wasabato ni abrakadabra tu? Usitake usabato uchambuliwe kwa upotofu wake kaa kimya acha kuwasakama wakatoliki, unaleta mada za kichochezi kenge we!
 
So usilaumu waliodungwa risasi kaka. Katolic wanalia mno huenda wameguswa mfupa Kwikwikwikwikwi
Mkuu, binadamu yeyote yule mwenye akili na utu ndani yake, akiona mauaji ya namna ile ni lazima aguswe mfupa. Nakushangaa wewe na wenzako mnaofurahia, labda hamna sifa za kibanaadamu nilizotaja hapo.​
 
mbona hata wasabato ni abrakadabra tu? Usitake usabato uchambuliwe kwa upotofu wake kaa kimya acha kuwasakama wakatoliki, unaleta mada za kichochezi kenge we!
Sabato ni dini aliyoianzisha Mungu Mwenyewe. Nyie wengine ni kutoka kwa Ibilisi. Mnaabudu pasaka sherehe ya wachawi.
 
Usilete mada za uchochezi wa kidini na umadhehebu, kafanye siasa zako kwenye majukwa ya vyama vya siasa, unaudhi sana unapoandika uchochezi wa kidini
 
Unajifanya msabato, msabato gani wewe mwenye elementi za kikobazi kiasi hiki. Wapi uliona wasabato wanatoatoa hints za kisiasa? Nini kinakuuma mpaka uwasakame wakatoliki?
 
Kuna wananchi walitimiza haki yao ya kupiga kura lakini walikatwa vidole vyao. Huu unyama uliofanywa kwenye tamko la TEC sijaona wakilikemea.

Je, waliowakata wananchi hao walitumwa na nani? Labda watu hao sio waumini wa Katoliki ni waumini wa Protestanti? Kwanini TEC hawakemei unyama huo?

Mimi ni maswali yangu hayo. AU tunarudi kwenye Crused ya kimya kimya?

Hayo ni maswali magumu ni wenye akili timamu tu wanaweza kufikiria na kutafuta namna ya kuyajibu.
Bora wako hai japo si sahihi kumkata mtu kidole kisa tu kashiriki zoezi haramu la Samia na wahuni wenzake, hebu weka picha nao tuwatetee.
Kuua hakuvumiliki lakini pia kukata mtu kidole(honestly I haven't seen any) si sahihi japo wengine watasema "vita ni vita mura".
 
Kwahiyo kama wako hai, waliowakata vidole ni mashujaa?
 
Kwahiyo kama wako hai, waliowakata vidole ni mashujaa?
Ni victims, mashujaa ni wapigania haki. Unfortunately walikuwa upande haramu lakini haikuwa haki kufanyiwa ukatili, wakishikwa waliowafanyia hivyo wanapaswa kupewa adhabu stahiki according to the law.
 
Kwahiyo wewe leo ni Mungu wa kujua huyu ni halali na huyu ni Haramu? Kwikwikwikwikwikwi Wewe ni Gen Z wa mwendo kasi
 
Nimeambiwa na shekhe ubwabwa. Hivi ni kwann huwa mnambinulia Mungu mkuu.nd..u wakati wa kuswaali badala kumuinulia vichwa vyenu?
Tuambie mpadri wakipata nyenge wanafanya nini? Kwikwikwikwi au huwa mawehasiwa kama maksai?
 
Kwahiyo wewe leo ni Mungu wa kujua huyu ni halali na huyu ni Haramu? Kwikwikwikwikwikwi Wewe ni Gen Z wa mwendo kasi
Ni haramu kwa kuwa kajipachika kiharamu, this shit is crystal clear hivyo haina haja ya kumung'unya maneno.
 
Back
Top Bottom