So usilaumu waliodungwa risasi kaka. Katolic wanalia mno huenda wameguswa mfupa Kwikwikwikwikwi
Wafia dini mnachokifanya mitandaon ni kuleta udini na cheap agenda! Mlipaswa mjadili hoja zao then muwapinge kwa hoja! Kukemea jambo sio kaz ya kanisa pekee hata ww kama ubongo wako haujauuza unapaswa ukemee!!Kuna wananchi walitimiza haki yao ya kupiga kura lakini walikatwa vidole vyao. Huu unyama uliofanywa kwenye tamko la TEC sijaona wakilikemea.
Je, waliowakata wananchi hao walitumwa na nani? Labda watu hao sio waumini wa Katoliki ni waumini wa Protestanti? Kwanini TEC hawakemei unyama huo?
Mimi ni maswali yangu hayo. AU tunarudi kwenye Crused ya kimya kimya?
Hayo ni maswali magumu ni wenye akili timamu tu wanaweza kufikiria na kutafuta namna ya kuyajibu.