President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
So usilaumu waliodungwa risasi kaka. Katolic wanalia mno huenda wameguswa mfupa KwikwikwikwikwiHuenda ilikuwa ni adhabu ndogo Sana kwa kosa la uhaini😆😆
Mimi siyo Baraza la Maaskofu wa Katoliki kaka. Je, tunakubaliana kuwa Katoliki ni wabaguzi?Hata wewe mleta mada una haki ya kuyakemea hayo. Usiwasubiri TEC kwa kila jambo
Kule Rwanda hao hao wakatoliki walisababisha mauaji ya kibali kwa kuendekeza mizaha mizaha hivi hivi. Father Kitima anajulikana yeye ni mwanachama wa CHADEMA 100%.TEC kuna shida sehemu na wanamchango mkubwa kutufikisha hapa pia....
Leo hii taifa likidondoka TEC hawawezi kukwepa lawama ila wakumbuke wanatoa tafakuri na matamko kungali shwari kidogo pakichangamka kidogo tu hata huo mda hawataupata.
Sijaona hata kipande kimoja cha picha mjongeo cha Mtanzania aliyekatwa kidole kwa kupiga kura zaidi ya mamia ya vipande vya picha mjongeo vya mauaji ya kukusudia ya Watanzania wasio na hatia.Kuna wananchi walitimiza haki yao ya kupiga kura lakini walikatwa vidole vyao. Huu unyama uliofanywa kwenye tamko la TEC sijaona wakilikemea.
Je, waliowakata wananchi hao walitumwa na nani? Labda watu hao sio waumini wa Katoliki ni waumini wa Protestanti? Kwanini TEC hawakemei unyama huo?
Mimi ni maswali yangu hayo. AU tunarudi kwenye Crused ya kimya kimya?
Hayo ni maswali magumu ni wenye akili timamu tu wanaweza kufikiria na kutafuta namna ya kuyajibu.
TEC siyo BAKWATA. Unakubali kuwa BAKWATA ni walamba miguu?Mimi siyo Baraza la Maaskofu wa Katoliki kaka. Je, tunakubaliana kuwa Katoliki ni wabaguzi?
Picha maelfu kwa maelfu zimewekwa kila kona. Au umeamua kujizima data?Sijaona hata kipande kimoja cha picha mjongeo cha Mtanzania aliyekatwa kidole kwa kupiga kura zaidi ya mamia ya vipande vya picha mjongeo vya mauaji ya kukusudia ya Watanzania wasio na hatia.
Tafadhali, naomba uweke hapa ushahidi halisi wa waliokatwa vidole.
Nani kakwambia TEC ni Bakwata. Mimi ni Msabato nasali jumamosi. Sisi tunajua Wakatoliki ni wapinga Kristo wanaabudu sanamu.TEC siyo BAKWATA. Unakubali kuwa BAKWATA ni walamba miguu?
Hapana. Wewe ni kubazi OG.Nani kakwambia TEC ni Bakwata. Mimi ni Msabato nasali jumamosi.
Kama hilo limetokea je umeshajaribu kushirikisha ubongo japo mara moja kujua nini kisababishi?Kuna wananchi walitimiza haki yao ya kupiga kura lakini walikatwa vidole vyao. Huu unyama uliofanywa kwenye tamko la TEC sijaona wakilikemea.
Je, waliowakata wananchi hao walitumwa na nani? Labda watu hao sio waumini wa Katoliki ni waumini wa Protestanti? Kwanini TEC hawakemei unyama huo?
Mimi ni maswali yangu hayo. AU tunarudi kwenye Crused ya kimya kimya?
Hayo ni maswali magumu ni wenye akili timamu tu wanaweza kufikiria na kutafuta namna ya kuyajibu.
Ndio Father Kitima kakuambia hivyo? KwikwikwikwikwiHapana. Wewe ni kubazi OG.
Vyovyote vile. Kumkata kidole mtu ametoka kupiga kura ni mwendelezo wa mbinu zao za crused kuua wananchi. Kila mtu anajua nani na mwazilishi wa crused.Kama hilo limetokea je umeshajaribu kushirikisha ubongo japo mara moja kujua nini kisababishi?