G
Samahani TEC wamefanya kosa gani?TEC kuna shida sehemu na wanamchango mkubwa kutufikisha hapa pia....
Leo hii taifa likidondoka TEC hawawezi kukwepa lawama ila wakumbuke wanatoa tafakuri na matamko kungali shwari kidogo pakichangamka kidogo tu hata huo mda hawataupata.
Hadi kichwa nimewahi katwa wewe umewahi katwa nini?Kukatwa kidole unaona ni jambo dogo? 😭😭😭😭😭Ulishawahi kukatwa kidole?
Basi wewe ni mpumbavuHadi kichwa nimewahi katwa wewe umewahi katwa nini?
Uliposema ile video ni AIWewe unazo Kwikwikwikwikwi
Umeumia?Uliposema ile video ni AI
Nikaona kabsaa wewe ni zamwamwa😂
Hujui kutofaitisha😂😂😂 pole sana
Utaanzisha kila aina ya uzi, lakini unajisumbua tuKuna wananchi walitimiza haki yao ya kupiga kura lakini walikatwa vidole vyao. Huu unyama uliofanywa kwenye tamko la TEC sijaona wakilikemea.
Je, waliowakata wananchi hao walitumwa na nani? Labda watu hao sio waumini wa Katoliki ni waumini wa Protestanti? Kwanini TEC hawakemei unyama huo?
Mimi ni maswali yangu hayo. AU tunarudi kwenye Crused ya kimya kimya?
Hayo ni maswali magumu ni wenye akili timamu tu wanaweza kufikiria na kutafuta namna ya kuyajibu.
mbona hata wasabato ni abrakadabra tu? Usitake usabato uchambuliwe kwa upotofu wake kaa kimya acha kuwasakama wakatoliki, unaleta mada za kichochezi kenge we!Nani kakwambia TEC ni Bakwata. Mimi ni Msabato nasali jumamosi. Sisi tunajua Wakatoliki ni wapinga Kristo wanaabudu sanamu.
So usilaumu waliodungwa risasi kaka. Katolic wanalia mno huenda wameguswa mfupa Kwikwikwikwikwi
Sabato ni dini aliyoianzisha Mungu Mwenyewe. Nyie wengine ni kutoka kwa Ibilisi. Mnaabudu pasaka sherehe ya wachawi.mbona hata wasabato ni abrakadabra tu? Usitake usabato uchambuliwe kwa upotofu wake kaa kimya acha kuwasakama wakatoliki, unaleta mada za kichochezi kenge we!
Oh!! mnapowatukana BAKWATA ni uchochezi wa kimila?Usilete mada za uchochezi wa kidini na umadhehebu, kafanye siasa zako kwenye majukwa ya vyama vya siasa, unaudhi sana unapoandika uchochezi wa kidini
Bora wako hai japo si sahihi kumkata mtu kidole kisa tu kashiriki zoezi haramu la Samia na wahuni wenzake, hebu weka picha nao tuwatetee.Kuna wananchi walitimiza haki yao ya kupiga kura lakini walikatwa vidole vyao. Huu unyama uliofanywa kwenye tamko la TEC sijaona wakilikemea.
Je, waliowakata wananchi hao walitumwa na nani? Labda watu hao sio waumini wa Katoliki ni waumini wa Protestanti? Kwanini TEC hawakemei unyama huo?
Mimi ni maswali yangu hayo. AU tunarudi kwenye Crused ya kimya kimya?
Hayo ni maswali magumu ni wenye akili timamu tu wanaweza kufikiria na kutafuta namna ya kuyajibu.
Kwahiyo kama wako hai, waliowakata vidole ni mashujaa?Bora wako hai japo si sahihi kumkata mtu kidole kisa tu kashiriki zoezi haramu la Samia na wahuni wenzake, hebu weka picha nao tuwatetee.
Kuua hakuvumiliki lakini pia kukata mtu kidole(honestly I haven't seen any) si sahihi japo wengine watasema "vita ni vita mura".
Ni victims, mashujaa ni wapigania haki. Unfortunately walikuwa upande haramu lakini haikuwa haki kufanyiwa ukatili, wakishikwa waliowafanyia hivyo wanapaswa kupewa adhabu stahiki according to the law.Kwahiyo kama wako hai, waliowakata vidole ni mashujaa?
Kwahiyo wewe leo ni Mungu wa kujua huyu ni halali na huyu ni Haramu? Kwikwikwikwikwikwi Wewe ni Gen Z wa mwendo kasiNi victims, mashujaa ni wapigania haki. Unfortunately walikuwa upande haramu lakini haikuwa haki kufanyiwa ukatili, wakishikwa waliowafanyia hivyo wanapaswa kupewa adhabu stahiki according to the law.
Nimeambiwa na shekhe ubwabwa. Hivi ni kwann huwa mnambinulia Mungu mkuu.nd..u wakati wa kuswaali badala kumuinulia vichwa vyenu?Ndio Father Kitima kakuambia hivyo? Kwikwikwikwikwi
Tuambie mpadri wakipata nyenge wanafanya nini? Kwikwikwikwi au huwa mawehasiwa kama maksai?Nimeambiwa na shekhe ubwabwa. Hivi ni kwann huwa mnambinulia Mungu mkuu.nd..u wakati wa kuswaali badala kumuinulia vichwa vyenu?
Ni haramu kwa kuwa kajipachika kiharamu, this shit is crystal clear hivyo haina haja ya kumung'unya maneno.Kwahiyo wewe leo ni Mungu wa kujua huyu ni halali na huyu ni Haramu? Kwikwikwikwikwikwi Wewe ni Gen Z wa mwendo kasi