Waliokatwa vidole baada ya kuonekana wamepiga kura Roman Catholic (RC) haina cha kuongea?

Ni nani huyo aliekatwa kidole? Naomba share video yake akilalamika kukatwa kidole
 
Mimi siyo Baraza la Maaskofu wa Katoliki kaka. Je, tunakubaliana kuwa Katoliki ni wabaguzi?
Naona unajaribu kuokoteza vitukio ili kujaribu kubalance mambo, uwe na akili...kwa tamaduni za kiafrika marehemu hana kosa, hivyo samuya kayatimba na atajutia hadi anaingia kaburini!.
 
Nilitaka kuona waliokatwa vidole......
 
TEC kuna shida sehemu na wanamchango mkubwa kutufikisha hapa pia....

Leo hii taifa likidondoka TEC hawawezi kukwepa lawama ila wakumbuke wanatoa tafakuri na matamko kungali shwari kidogo pakichangamka kidogo tu hata huo mda hawataupata.
Huna na huwezi kuwafanya Chochote. Hata mama yenu anajua
 
Mimi siyo Baraza la Maaskofu wa Katoliki kaka. Je, tunakubaliana kuwa Katoliki ni wabaguzi?
Kwani Bakwata wakiwasemea waliokatwa vidole Kuna shida?
Wakatoliki wameamua kuwasemea waliouwawa kama ambavyo wewe unavyowasemeaga wapalestina dhidi ya mazayuni!
 
Huko kwenu hamuwezi kutengeneza picha/video hata za AI?

Post hapa au tuambie zilikopostiwa tukaone.
 
Wananchi walikubaliana hamna uchaguzi bila reform nyinyi mamluki mkatoka kwa kiherehere kwenda kupiga kura
 
We kum@ chafu ya samia ,unaweza Kuleta ushahidi hapa wa MTU aliyekatwa kidole ,kum@ LA mamako wewe mtoto wa kahaba ? ,*****
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…