Waliokopa hela Benki kujenga ma guest Chato, viwanda, nyumba za kupanga wanahaha, wanahonga wanasiasa ili Chato iwe Mkoa hela irudi

Waliokopa hela Benki kujenga ma guest Chato, viwanda, nyumba za kupanga wanahaha, wanahonga wanasiasa ili Chato iwe Mkoa hela irudi

zile hotel za marwhemu john alizojenga bukome zitakaliwa na nani?

zile nyumba za kalemani alizojenga nyabilezi karibu na mseveni school atampangisha nani,

mle chato kuna lodge kali sana hazina wateja... yaani hata kwa buku 5 watu hawapo.

jmosi ni siku ya soko, lakini hamna wanunuzi.

barabara pale wnapoita mjini zote ni za lami lkn hazina magari isipokuwa Pkpk sanlg na boxer (wao hutamka boksaa) za walimu.

kwa sasa chato hakuna wageni, mausalama wengi wamehamishwa na Malaya wameyeyuka.

mkuu chinembe nadhani tupo kundi moja la admin yule katibu Wa wazaz huko tabora aliozawadiwa baada ya kumpiga lisu na msafara wake
Very informative
 
Wale wawekezaji wa michongo Sasa wanahaha, Chato Ina magesti house mengi saana na yamejengwa kwa mikopo, wengi waliojenga walitarajia mzee angekaa madarakani miaka mingi sana. Kuna makumi ya magesti hayajaisha, mengine yameisha.

Sasa yale yalioisha hayana wateja kabisa, yale yaliyokuwa yanajengwa yamesimama, mikopo ya kulipwa benki waliyokopa imeiva.

Kinachofata ni mashinikizo kwa wanasiasa na wakati mwingine wanawapa Hela ili angalau Chato iwe Mkoa warudishe mikopo. Wanasiasa wengi wanaotaka Chato iwe Mkoa wako kwenye payroll ya wafanyabiashara, wanalalamika waliingizwa mkenge.

Bado we waliojenga viwanda

Yale mataa ya barabarani yanayowaka usiku pale Chato yanasaidia kumulika umasikini mkali uliotamalaki na kuthibitisha hoja ya Nyerere kwamba maendeleo ni ya watu, sio ya vitu, wananchi wanatembea kwa miguu kurudi na kwenda makazini huku wakimulikwa na taa za barabarani, wanalala njaa majumbani huku wakichungulia dirishani wanaona barabarani Kuna taa zinawaka usiku.

Mawaziri na viongozi waliolazimishwa kununua viwanja Chato wanahaha kupata mteja wa kuwauzia kwa karibu mwaka sasa.

Ajenda ya chato kiwa Mkoa sio ya wananchi, ni ya wafanyabiashara na wanasiasa, wananchi wanataka Samia awatoe kiuchumi tu na kusomesha watoto wao ambao waliachwa wakihaha
Bado mnateseka na Magufuli
 
zile hotel za marwhemu john alizojenga bukome zitakaliwa na nani?

zile nyumba za kalemani alizojenga nyabilezi karibu na mseveni school atampangisha nani,

mle chato kuna lodge kali sana hazina wateja... yaani hata kwa buku 5 watu hawapo.

jmosi ni siku ya soko, lakini hamna wanunuzi.

barabara pale wnapoita mjini zote ni za lami lkn hazina magari isipokuwa Pkpk sanlg na boxer (wao hutamka boksaa) za walimu.

kwa sasa chato hakuna wageni, mausalama wengi wamehamishwa na Malaya wameyeyuka.

mkuu chinembe nadhani tupo kundi moja la admin yule katibu Wa wazaz huko tabora aliozawadiwa baada ya kumpiga lisu na msafara wake
Unateseka ukiwa wapi
 
Back
Top Bottom