Waliokuwa na bidii na elimu lakini wapo mtaani wanadharaulika kwakuwa jamii iliweka matarajio makubwa

🙏🏾
 
Druncuculus sio micro ni parasites
 
Yes Sayansi inatumika kwenye application, lakini hakuna Sayansi pasi ya Arts – Hayo majengo, meli, ndege, mitambo haikutokana kwa kukariri bali usanifu na ubunifu ambao ni Arts.

Hakuna Sayansi pasi ya Arts maana hata Sindano na kidonge kinabuniwa na Arts, Kituo cha anga ISS kilibuniwa na kuchorwa vilivyo na Artists from Brazil.

Kabla ya kudharau kitu next time fikiri kikamilifu! Watu wote unaofuata principles zao the likes of Da'Vinci, Ford and co walikuwa Artists!

Programming is Science and here have JamiiForums yes! lakini muonekano huu UI ni ubinifu/usanifu/uchoraji zao la Arts! Nimetumia mfano huu tu! Nikija masuala ya History and archaelogy Arts play a part and life relay on that.

Art can stand still on its own but Science needs Art to act or be applicable.
 
What the hell yo talkin about? Aircrafts na automobile eng's unaziachaje sasa? Yo ain't serious
-Hizo kozi sio huduma za jamii, kozi zenye huduma za jamii Kama za Afya ndio zenye soko kubwa Sana
-Tanzania Kuna upungufu wa wafanyakazi wa afya zaidi ya 50%
-Air Craft sio huduma za jamii hence sio marketable Sana Kama Hizo za Afya
 
We jmaa ndo unamatatizo, there something wrong with you sir.
 
Unachangya mambo science haina art drawing ina technical drawings mtu wa art Hana uwezo wa kuchora scientific drawing au technical drawing


Hakuna Art drawing kwenye science
Mwanasayansi anahitaji technical drawing sio art drawing
Michoro ya majengo hufanywa na wasanasayansi ambao ni architecture huchora technical drawings na muonekano


Mchora majengo kitaalamu ni Mwanasayansi wa fani ya architecture sio artist
 
Mleta mada unachotakiwa kufahamu hapa bongo elimu tunayoipata wote wa science na arts haina ukombozi kwetu ,tunakarirshwa na tusipo pata ofisi ndoo imetoka hiyo.Mm ni mwlm najua tunavyowafundisha wanafunzi Mungu ndie anaejua.
Mwambie huyu wote sawa elimu mbovu unaweza soma miaka kumi nyuma ujana fundisho ukakuta topics zile zile izo za science
 
Mwambie huyo
 
mtu anapotoa mtazamo straight na very daring and powerful hua hamna majibu mnabaki na "huyu jamaa there is something wrong"

useless
Yaan we jamaa una matatizo hakuna unachotoa Cha maaana tunaishia hivyo kwasababu hakuna cha maana uta replay.
 
Yes it is visible ni nematode uyo usiwe unaandika vitu ambavyo huvijui
Bas na mimi nilikaririshwa mkuu... Ila kwa kukusaidia huyo sio microorganism technically.

Ukiielewa parasitology vzr utafaham kuwa niko sahihi
 
Umenikumbusha Engineering Drawings (1st year hio),kama kichwa maji hutoboi hio
 
Mkuu sio kwa ubaya, naomba nije PM. Namimi nimesoma mambo ya Marine, na natafuta michongo majuu, kama utaniunganisha na "mwana" ili anipe ABC's
Nenda chuoni kwenu hapo habari utazipata hapo hapo, yule aliyewanunulia viti hapo chuoni hukumuuliza.
 
Nenda chuoni kwenu hapo habari utazipata hapo hapo, yule aliyewanunulia viti hapo chuoni hukumuuliza.
Dah jamaa amekuomba kwa upole msaada ila unajibu shit, kama huwezi msaidia si ukae kimya tu....
 

tatizo ni matatizo tuliyonayo TZ, Viongozi tulionao ni matatizo matupu, hatuna viongozi tuna takataka, mijitu inalalamikiwa kila siku kuhusu mitaala yenyewe kimya tu, na mengine inajiita miprofesa, utombo mtupu.

Tena cha kushangaza kila mwaka vyuo vinamwaga wahitimu zaidi ya laki tano, na serikali inazidi kulifumbia macho hili swala. Ni kwanini wasipunguze wanafunzi kwa kuchukua only div one? ili kukomboa muda na gharama za watu? tena wafute mashule na vyuo vya ovyo.
 
Elimu ni muhimu sana ila inategemeana na mindset yako, Kuliko usomeshe mtoto shule za gharama kwa mateso makubwa bora asome shule za kawaida sana
 
Neno la Mungu lina majibu ya kila jambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…