Yes Sayansi inatumika kwenye application, lakini hakuna Sayansi pasi ya Arts – Hayo majengo, meli, ndege, mitambo haikutokana kwa kukariri bali usanifu na ubunifu ambao ni Arts.
Hakuna Sayansi pasi ya Arts maana hata Sindano na kidonge kinabuniwa na Arts, Kituo cha anga ISS kilibuniwa na kuchorwa vilivyo na Artists from Brazil.
Kabla ya kudharau kitu next time fikiri kikamilifu! Watu wote unaofuata principles zao the likes of Da'Vinci, Ford and co walikuwa Artists!
Programming is Science and here have JamiiForums yes! lakini muonekano huu UI ni ubinifu/usanifu/uchoraji zao la Arts! Nimetumia mfano huu tu! Nikija masuala ya History and archaelogy Arts play a part and life relay on that.
Art can stand still on its own but Science needs Art to act or be applicable.