COMOTANG
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 2,131
- 1,821
Hakika mkuuElimu imegeuka kifungo cha maisha sote tunaona hilo! Soma sana uwe maskini bora kusoma kidogo tu kisha ujimix mtaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika mkuuElimu imegeuka kifungo cha maisha sote tunaona hilo! Soma sana uwe maskini bora kusoma kidogo tu kisha ujimix mtaani
Wanasheria na HR’ mtoto yeyote aliyesoma masomo ya sayansi anaruhusiwa kusoma degree zakeTunahitaji wakalimani, wanasheria, HR’s nk hawa wote hawasomi sayansi.
Wewe unafahamu wwzazi wanavyopata shida kusomesha watoto mpaka wanahitimu degree ya kwanza, leo hii unasema taaluma nyingine zianzie kwenye shahada ya uzamili nani atagharamia?Wanasheria na HR’ mtoto yeyote aliyesoma masomo ya sayansi anaruhusiwa kusoma degree zake
Mfano PCB na PCM huruhusiwa Kusoma digriii ya kwanza ya sheria na HR bila shida
Masomo ya art yanataka uelewa na sio kukari kama sayansi.Uongo inattegemea ulichosoma. masomo ya sayansi hakuna kukariri lazima uelewe ulichosoma
Degree za Arts zifutwe
Misomo ya Arts ni aibu kwa nchi ndio inazalisha watu wa kukariri huwezi soma digriii ya engineering au udaktari ukafaulu kwa kukariri
Na huwezi soma combination za sayansi kama PCB, PCM ukafaulu kwa kukariri
Atajighariimia mwenyewe digriii ya pili ya kwanza asome yenye soko mfano kasomea umeme atafanya kazi kukusanya pesa atajisomesha kuliko umpeleke kusomea digriii isiyo na demand au ambayo hataweza kuitumia mtaaani bora umpe hiyo hela afungue biasharaWewe unafahamu wwzazi wanavyopata shida kusomesha watoto mpaka wanahitimu degree ya kwanza, leo hii unasema taaluma nyingine zianzie kwenye shahada ya uzamili nani atagharamia?
Kwanini nchi za Ulaya imewezekana kwetu ishindikane? Tuangalie ubovu uko wapi katika utoaji wa elimu yetu.
Sababu sheria ni thinking na sio claiming.Wanasheria na HR’ mtoto yeyote aliyesoma masomo ya sayansi anaruhusiwa kusoma degree zake
Mfano PCB na PCM huruhusiwa Kusoma digriii ya kwanza ya sheria na HR bila shida
Walisoma sayansi Wana wigo mpana sana
Huoni kama kuna hatari ya baadhi ya taaluma kukosa wataalamu, tutaishia kukodi wanasheria kutoka Kenya na Uganda.Atajighariimia mwenyewe digriii ya pili ya kwanza asome yenye soko mfano kasomea umeme atafanya kazi kukusanya pesa atajisomesha kuliko umpeleke kusomea digriii isiyo na demand au ambayo hataweza kuitumia mtaaani bora umpe hiyo hela afungue biashara
Sayansi huijui inatumika zaidi kwenye application mfano uliotoa hayo mahesabu mwisho wa siku unayatumia mfano kujenga majengo, kuunda ndege na mitambo nk hayapo hapo kwa ajiri ya kukaririwa ndio maana lazima kuwa ili nitengeneze meli ielee na isizame mahesabu ya kila eneo yaweje nk ndege ili iruke mahesabu yake ya kila eneo yawejeMasomo ya art yanataka uelewa na sio kukari kama sayansi.
Maana sayansi huwa haina majibu mawili na huwa hayabadiliki miaka.
Kufaulu sayansi ni uwezo wako tu wa kukariri.
Magazijuto, archimedes principle, algebra, quantum,nk majibu ni hayo hayo miaka.
2+2 haijawahi kubadili.
Art inataka reasoning,sayansi ni claiming capacity yako tu.
Laiti ajira zingekuwepo,wale waliokuwa vipanga darasani,wangekuwa na maisha mazuri,Hilo halina ubishi.Mtu katoka chuo kikuu na GPA ya juu,ni Muhandisi,muhasibu,Dokta,unafikiri akipewa nafasi vitengo nyeti lazima atafanya masjabu.Ni lile kundi la watu ambao tulisoma nao shuleni na vyuoni, walikuwa serious sana na elimu na waliweza kuwa na matokeo mazuri sana, wengi walisifika kwa kuitwa majina maarufu kama vipanga.
katika fikra za wengi hawa walikuwa wanaonekana tayari wana future nzuri maana wakimaliza tu elimu zao basi wana maisha
kiukweli yalikuwa ni matarajio makubwa sana lakini kwa uhalisia mambo yapo tofauti kabisa na ndio maana wapo ambao wapo mitaani kwa kukosa ajira au kukosa mitaji.
changamoto kubwa wanayoipata ni kwamba tayari walijizolea umaarufu wa kuwa na uwezo mkubwa darasani hivyo kila anaekutana nae anajua ana bonge la kazi au cheo shirika flan na lazma aulize ili kuthibitisha. wengine masnich tu anajua kila kitu lakini anauliza makusud ili tu amtibue.
basi baada ya hapo kinachofuata anaweza kudharaulika sana ama kuonewa huruma sana kama mtu mgonjwa asiejiweza maana alitarajiwa afike mbali sana kwa juhudi zake ila hakuna alichoambulia, mbaya zaidi katika kundi la waliomdharau hilo kunaweza kuwa na wenye ajira au biashara zao basi wanasambaza sumu kwamba elimu si kitu kwa kumfanya mwenzao awe mfano.
Lkn wanatumia kanuni ambazo hazibadilikiSayansi huijui inatumika zaidi kwenye application mfano uliotoa hayo mahesabu mwisho wa siku unayatumia mfano kujenga majengo, kuunda ndege na mitambo nk hayapo hapo kwa ajiri ya kukaririwa ndio maana lazima kuwa ili nitengeneze meli ielee na isizame mahesabu ya kila eneo yaweje nk ndege ili iruke mahesabu yake ya kila eneo yaweje
Zinabadilika kutegemea mazingira na levels mfano mbili mara mbili ni nne kwa hesabu za chekechea lakini ukienda kwenye uzalishaji mfano una mbegu mahindi mbili mkono wa kushoto na mbegu mbili mkono wa kulia ukazipanda moja moja kwenye shimo moja zikaota Hali ikawa nzuri mahindi yatakayopatikana punje zake huwezi jibu zitakuwa ngapiLkn wanatumia kanuni ambazo hazibadiliki
Degree zenu ni za hovyo sana na ni lazima mpate shida sana ya ajira!Masomo ya art yanataka uelewa na sio kukari kama sayansi.
Maana sayansi huwa haina majibu mawili na huwa hayabadiliki miaka.
Kufaulu sayansi ni uwezo wako tu wa kukariri.
Magazijuto, archimedes principle, algebra, quantum,nk majibu ni hayo hayo miaka.
2+2 haijawahi kubadili.
Art inataka reasoning,sayansi ni claiming capacity yako tu.
Kwa hiyo hao wa sayansi walioelewa ndio wameajiriwa wote?Uongo inattegemea ulichosoma. masomo ya sayansi hakuna kukariri lazima uelewe ulichosoma
Degree za Arts zifutwe
Misomo ya Arts ni aibu kwa nchi ndio inazalisha watu wa kukariri huwezi soma digriii ya engineering au udaktari ukafaulu kwa kukariri
Na huwezi soma combination za sayansi kama PCB, PCM ukafaulu kwa kukariri
Mkuu ni Kama Mimi kwenye kampuni yetu kazi zilivyoisha si hatukupewa malipo yetu yoyote Yale Sasa unatoka huko mtupu huna pa kuanzia na Mimi nimesomea civil engineering nilichofanya nilikuwa na viela kidogo nikaanzisha mradi wa Kuku Kama 20 hivi na badaye nikakusanya vijana wanne nikaanzisha kikundi Cha watu 5 tukaomba mkopo halmashauri tukapewa milion 4 na tulivyopewa tukauendeleza huo mradi kwa kuongeza Banda kubwa na Kununua Kuku wakafika 300 tumeendelea nao hao Kuku Kama miezi sita hizi tukarudisha huo mkopo wa mil 4 ila watu huku mtaani bado wakawa wananikebehi kwamba na degree yangu nitafugaje Kuku Yani ilikuwa shida aisee na baada ya kurudisha mkopo tukapewa Tena saivi mkopo wa mil 10 na saivi tumenunua mashine za kutengenezea mkaa wa kisasa unaotokana na mabaki ya mimea Naona kwa Sasa wametulia sio Kama awali niliyokuwa nafuga Kuku aisee Yani wasomi huku mtaani tunadharaulika Sana kama tukifanya kazi ambazo wengine wa mitaani wanafanya.Nilikuwa na kadhia hiyo. Watu niliowaacha form 4 na darasa la Saba ndiyo walianza kunifundisha maisha mengine huku wakinisimanga sana kwamba kusoma sana hakujasaidia kitu, ingawa wale jamaa walinisaidia sana.
Nilikuwa na mawazo makaali sana. Ila nashkuru Mungu alinikumbuka nikaachana na zile stress.
Demand ya wanasheria ni kubwa sana, tatizo ni umaskini wa kipato wa hao wahitaji.Hao uliowataja demand yao soko la ajira ni ndogo mno
Kusoma ni Investment kama zilivyo investments zingine kuwekeza kwenye eneo lenye demand ndogo ni uwekezaji mbaya
Kusoma hiyo Misomo ni uwekezaji mbaya kwa sasa
Wana uwezo mkubwa kuingia mtaaani na kumaliza survive kuliko wa ArtsKwa hiyo hao wa sayansi walioelewa ndio wameajiriwa wote?
Watu wanajua sayansi hakuna kukariri hahahahah. Kuanzia Engineering hadi u daktari ni kukariri mwanzo mwisho.......sema tu ni kukariri wenye nafuumkuu yale ma arrhenious law yanaeleweka kweli?? Mfumo wa elimu ya kibongo n wa kukaririshwa mkuu, hakuna kuelewa jambo.
Hata huko udaktarini pia n ukaririshwaji wenye ahueni. Kama ulisoma huo udaktari bila shaka ulipitia ishu kama drancuculus medinences.... Hawa microorganisms ulikaririshwa na si kuwaelewa.