Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Baada ya muda watu watazoea, jambo lolote jipya hasa linalohusu ongezeko la matumizi lazima liwe na kelele mwanzoni! Nilipo kwa sasa tunapigwa kodi za kufa mtu na watu wanalipa and maisha yanasonga, nadhani hata wao wakati zinaanza kelele zilikuwa hivihivi! Muhimu hiyo hela isimamiwe vizuri na itumike kwa malengo tajwa, siyo kuwajaza matumbo akina Wasira! Ikitumiwa vibaya hilo ni jambo lingine, na wananchi watakuwa na hasira haswa
Sisi wananchi tuna hasira lakini tumeridhika na kuburuzwa, hata hizo hela zikitumika vibaya hakuna kitu tutafanya. Kwa wananchi makondoo usitegemee lolote la maana katika kusimamia fedha zao.