Waliokuwa wakiitukana awamu ya 5 waanza kujuta, watakiwa kuchutama

Waliokuwa wakiitukana awamu ya 5 waanza kujuta, watakiwa kuchutama

Pambana na kodi zako hapo kijiweni kwako.Mambo ya kutaka uombwe msamaha na watu wanaokufunua mbongo yako kila siku haitokusaidia usilipe kodi za kihuni.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Habari.

Kuna watu waliimba na kuhubiri,
Kusujudu na kurukaruka.
Kunywa bia na kuponda bata la kufa mtu kwamba kwa maisha yao yatakuwa bora mno baada ya Magufuli.

Leo ni miezi 8 bila Magufuli lakini kila wakigeuka huku hakuna umeme, wakigeuka hakuna maji ,wakigeuka huku mbolea lakini moja, wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye migodi ,wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye mitaa, wakigeuka huku Mungu wao yuko jela kwa ugaidi.

Leo ndiyo wamejua Magufuli alikuwa anafanya kwa ajili yao?
Jinga kabisa na bado mtaendelea kuwa watumwa hivyo hivyo.
Waliowadanganya wamtukane Magufuli wote wamepata mabwana Ulaya wanalishwa bure.

Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Back
Top Bottom