Waliokuwa wakiitukana awamu ya 5 waanza kujuta, watakiwa kuchutama

Umeandika "mharo" kama yule "mzarendo uchwara' alivyokuwa akiwaaminisha yeye ni "shujaa' kumbe utopolo tupu. Huko aliko afe mara ya 2!
Tuma na ya kutolea kenge wewe
 
Hizi tozo zimewekwa na wanufaika wa utawala wa magu.

Walipoona magu amekua akisemwa vibaya wao wamekuja na hizi tozo onevu ili kuwaaminisha watu kua angekua magu asingeruhusu
Yamekuwa hayo tena!!!!! Hamkawii kusema ni mzimu wa magu ndo umeweka hizo tozo.
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameshauriwa kama mtu mzima aombe msamaha kwa watanzania kwani mtu mzima akivuliwa nguo huchutama na siyo kukimbia uchi.

Ni miaka sita sasa tangu Tundu Lisu aitabirie Tanzania mabaya ikiwemo kushitakiwa MIGA, ndege kukamatwa, uchumi kufilisika, kunyimwa misaada mbalimbali. Mpaka sasa hakuna hata kitu kimoja kilichotabiriwa na Lissu kilichotimia maaana yake aliwadanaganya watanzania, yani licha ya kusoma kwa kodi za watanzania yeye anakuja kufanya kazi ya kuwadanganya watanzania!

Kinyume na utabiri wa Lissu,Tanzania ya sasa imeingia uchumi wa kati, hatujashitakiwa MIGA na viwanda vya kuchenjua dhahabu vimejengwa Mwanza. Mapato ya madini yamepanda kutoka billioni 100 hadi billion 500, ndege hazikamatwi na watanzania ni wamoja zaidi kinyume na utabiri wake.

Baada ya kuona aibu Tundu Lissu na Lema badala ya kuwaomba msamaha Watanzania wao wamekimbilia Ulaya kwenda kulishwa bure na wazungu.

Lema na Lissu rudini nyumbani muwaombe msamaha Watanzania muanze kuishi kwa jasho lenu kwa kufanya kazi na siyo kulelewa.
Aaaaahhhhhhh wapi bhana!
 
Corona ipo Moshi na Arusha kwa sababu ya laana ya kushangilia kifo cha Magufuli
 
Timu gaidi wanalia na kusaga meno
 
Corona ipo Moshi na Arusha kwa sababu ya laana ya kushangilia kifo cha Magufuli
Sio kweli. Moshi na Arusha wamestaarabika kwa kutoa taarifa bila hofu. Corona imepiga Zaidi Dodoma, asikuambie mtu!
 
Mungu alishajibu! Aliyewafanya wawe vilema na wengine kukimbilia uhamishoni alishaondoka.
Na mimi nashauri warudi nyumbani bila kuomba msamaha.
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameshauriwa kama mtu mzima aombe msamaha kwa watanzania kwani mtu mzima akivuliwa nguo huchutama na siyo kukimbia uchi.

Ni miaka sita sasa tangu Tundu Lisu aitabirie Tanzania mabaya ikiwemo kushitakiwa MIGA, ndege kukamatwa, uchumi kufilisika, kunyimwa misaada mbalimbali. Mpaka sasa hakuna hata kitu kimoja kilichotabiriwa na Lissu kilichotimia maaana yake aliwadanaganya watanzania, yani licha ya kusoma kwa kodi za watanzania yeye anakuja kufanya kazi ya kuwadanganya watanzania!

Kinyume na utabiri wa Lissu,Tanzania ya sasa imeingia uchumi wa kati, hatujashitakiwa MIGA na viwanda vya kuchenjua dhahabu vimejengwa Mwanza. Mapato ya madini yamepanda kutoka billioni 100 hadi billion 500, ndege hazikamatwi na watanzania ni wamoja zaidi kinyume na utabiri wake.

Baada ya kuona aibu Tundu Lissu na Lema badala ya kuwaomba msamaha Watanzania wao wamekimbilia Ulaya kwenda kulishwa bure na wazungu.

Lema na Lissu rudini nyumbani muwaombe msamaha Watanzania muanze kuishi kwa jasho lenu kwa kufanya kazi na siyo kulelewa.
sawa mzee wa tozo, umesikika.
 
Mungu alishajibu! Aliyewafanya wawe vilema na wengine kukimbilia uhamishoni alishaondoka.
Na mimi nashauri warudi nyumbani bila kuomba msamaha.
Mimba ya Magufuli itawatoa roho kenge nyinyi ndiyo kwanza miezi 6 ,bado kidogo mzae endeleeni kunywa malimao na ndimu
 
Kumbe Mwendazake hakuwa tatizo,tatizo ni kutafuta maisha,maana hayupo, nyumbani hawarudi, halafu jamaa wako na wake zao huko wanakula good time tu.
 
Tatizo ni ujinga wa chadema
 
Leo Gentamycine ameamka na uzi wa kujuta
 
Back
Top Bottom