Waliokuwa wakiitukana awamu ya 5 waanza kujuta, watakiwa kuchutama


Sisi wananchi tuna hasira lakini tumeridhika na kuburuzwa, hata hizo hela zikitumika vibaya hakuna kitu tutafanya. Kwa wananchi makondoo usitegemee lolote la maana katika kusimamia fedha zao.
 
Hawawezi kushitaki kwakuwa walichozuiliwa sasa hivi wanasafirisha bila shida tena kwa ulaainiiii. Sasa kesi ya nini?
 
Ulichoandika hakiendani na ulichokusudia kutuambia. Hebu tulia kidogo kisha utueleze ulichotaka kusema.
 
Hivi huwa mnakosa watu wa kufuatilia mpaka mpoteze mda kuchunguza hao wazee wa KIKI. mbona walisha puuuuzwaa mda mrefuuuu na wananchi wotee??
 
Habari za porojo hizo za vibavicha. Unabiashara wewe?
Awamu ya 5 iliandaa mazingira mazuri hamna dalali wa kati anayejifanya yeye bandari.
Sema wewe unabiashara gani ili tuiangalie ilivyo athiriwa na awamu ya 5?
Tuletee na yakwako ili tuzichambue pamoja.
 
Yote ni CCM tu. Awamu ni mbwembwe tu za kupumbaza Watanzania...
 
Hizi tozo zimewekwa na wanufaika wa utawala wa magu.

Walipoona magu amekua akisemwa vibaya wao wamekuja na hizi tozo onevu ili kuwaaminisha watu kua angekua magu asingeruhusu
Hili tunalijua wenyewe akili tu, mbumbumbu kama Kinuju atalijulia wapi? Awadanganye wapuuziaji wenzie wasioshughulisha akili.
Anajifariji wapinzani wameanza kulia? Aende kwenye magroup ya UVCCM akaone walivyochafukwa roho.
 
CHADEMA achaneni na huyu mbeligiji mla kiyoyozi asiyejua M-pesa ni kitu gani
 
Baada ya kushiba mali za urithi ndiyo mnabwabwaja hivi
 
Kwani jiwe yupo?utawala si umebadirika au wewe unafikiri wazungu waliipania nchi kwa maana ya eneo la kijiografia?walikuwa wanataka wamtie adabu mtawala,Mungu mkubwa,li shetani limekufa.
 
Umeandika "mharo" kama yule "mzarendo uchwara' alivyokuwa akiwaaminisha yeye ni "shujaa' kumbe utopolo tupu. Huko aliko afe mara ya 2!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…