Surveillance
Member
- Dec 2, 2018
- 25
- 22
Subirini, mitambo ndo inaamshwa. CCM baba lao. Msije mkapoteana lakini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa wale wanaoitakia mema hii nchi wanajua ukweli.Ni kweli, hata hicho mnachokiona hamkutarajia maana mlijua ni ushindi wa mteremko. Na msipotumia zile mbinu za siasa chafu na ushindi kama ule wa SM, mtapata majibu ya kufedhehesha sana. Hapo ndio mtajua Tanzania haiwezi kuwa mateka wa chama kimoja kwa utashi wa rais.
Kwa wale wanaoitakia mema hii nchi wanajua ukweli.
Upande wa pili hakuna viongozi bali ni mkusanyiko wa majizi na wahuni.
Sasa nchi hii ilipotoka leo mambo ni mswanu halafu ukabidhi kikundi cha wahuni!!
Endeleeni tu kukimbiza mwenge bado sana nyie mawakala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanataka maendeleo na wanayaona sasa tena sio hadithi.Uzuri watu walishaamka kitambo. Hata itumike nguvu kubwa kiasi gani, bado wananchi wanajua wanataka nini.
Kweli kabisa, hizi sio zama za kushurutisha watu kutawaliwa na chama kimoja, eti kisa kuna bwawa na reli zinajengwa. Na wale wanaomdanganya Magufuli kuwa atashinda kwa 90%, huo ni utapeli wa mchana kweupe. Sana sana itabidi zile mbinu za kipuuzi za ushindi wa uchaguzi wa SM ndio zitumike.
Sasa mitutu ya niniSisi CCM ni nani hata tupendwe na wote, wakati Mungu mwenyewe anapambana na upinzani toka kwa shetani !!
CCM inajivunia kuwa na watu wanaotambua juhudi zinazofanywa na rais aliyepo, kwani wanajua hii nchi ilipo, ilipotoka na inapokwenda.
Mpaka sasa tunao mtaji kubwa kwa Watanzania halisi acha mamluki wanaofurahia mwendo wa dereva wetu Magufuli, kwani kalimudu gari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajipa matumaini hewaMkuu, baada ya lissu kupungia miti dodoma akienda kuchukua form na mbowe kukoswa na mawe kule hai ni dhahiri kabisa chama cheni kimechokwa, wale wengine mliwapa 5000 za mafuta ya boda boda lakini bado mliambuliwa mnajishangaaa wenyewe! kama umeweka imani sana lissu anashinda jiandae kisaikolojia: sehem zilizokua znawabeba upinzani ni kaskazini lakini kwa yaliomkuta mbowe jiandae tu kisaikolojia, kipindi cha kampeni ndo utapata angalau picha halisi ya watu wa lissu
Huyu mzee njaa inampeleka kubaya!! Ameaibika huko kwao kwa kupigwa spana na wajumbe mithiri ya mlopokaji Musiba!!
Unajipa matumaini hewa
Mkuu, baada ya lissu kupungia miti dodoma akienda kuchukua form na mbowe kukoswa na mawe kule hai ni dhahiri kabisa chama cheni kimechokwa, wale wengine mliwapa 5000 za mafuta ya boda boda lakini bado mliambuliwa mnajishangaaa wenyewe! kama umeweka imani sana lissu anashinda jiandae kisaikolojia: sehem zilizokua znawabeba upinzani ni kaskazini lakini kwa yaliomkuta mbowe jiandae tu kisaikolojia, kipindi cha kampeni ndo utapata angalau picha halisi ya watu wa lissu
mm siongei kishabiki, i am telling you from facts: ata si uone jamaa wenu amekoswa na mawe kisa kumkosoa magufuli watu hawana ham na cdm, hao mnaowapa 5000 mtaishia presha sku ya kura: shauri yenu
Jiwe lazima lipasuliwe October 28.......wale ambao jiwe amewakataza kutangaza mpinzani wameshaonywa na Tundu Lissu......Walizima siasa....sasa wananchi ndio wana uchu vibaya wa siasa!
Watakoma ccm na mawe wao....
Full kukosea.....pay back time!
Unadhani hao wengine wana jipya?Kwani watu watakaongia watagawa nyundo na sururu ili miundombinu iharibiwe? Maendeleo ni zaidi ya miundombinu. Kwa bahati mbaya mnadhani maendeleo ni miundombinu tu. Watu wanahitaji zaidi ya miundombinu. Hakuna anayetaka miundombinu kisha akose ajira, uchumi wa mfukoni au anyimwe uhuru wake wa habari, na kidemokrasia eti kisa kuna kiongozi amejenga miundombinu kadhaa.
Ngoja waingie wengine muone maendeleo maana yake ni nini. Utawala huu unawalazimisha watu waamini kuwa demokrasia ni kikwazo cha maendeleo. Kaeni pembeni muone watu wakileta maendeleo na demokrasia juu.
Unadhani hao wengine wana jipya?
Nakwambia hakuna mwenye uchungu wa kweli na hii nchi upande huo.
Wote mpaka wewe mnawaza fursa za kupiga pesa.
Leo hii maendeleo gani utawaletea wananchi wako bila kuboresha huduma kwao.
Na ndio maana unaona awamu hii imejikita kwanza kuziboresha barabara, vituo vya afya, shule na mengi mengineyo.
Uwezi ukajikita kwenye kuongeza mishahara watumishi, kama kwanza hujaweka sawa njia za kupata uwezo wa kulipa mishahara watumishi wako. Na mishahara sio zoezi la mwezi mmoja ni endelevu ukumbuke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upinzani uko wapi??Tulishasema hapa idadi ya wabunge sio upinzani. Upinzani ni fikra. Ubunge na udiwani unaweza kuiba kura hata kulazimisha. Kitu ambacho huwezi kulazimisha ni upendo. Kama mtu anampenda mtu mwingine huwezi kualazimisha akupende wewe au kwasababu umemfanyia kitu fulani ni lazima akupende leo. Upinzani bado sio majority ya Watanzania lakini kuna watu kama 40%-45% ya Watanzania na zaidi ya hao kwenye miji mikubwa. Pamoja na kubanwa vyombo vya habari tunaona Zanzibar na Bara kwamba si kweli inawezekana hata upinzania ukawa na nguvu kuliko hata 2015. Kubana watu hakuzuii tena inawezekana kumeongeza umashauri maana wapinzani sasa wanaonekana kama mashujaa badala ya kuonekana wanasiasa wa kawaida.
CCM msikubali tena kuzuiwa kwa mikutano haisaidii na itakuwa ngumu hapo Magu akiondoka. 2025 upinzani utakuwa na nguvu kuliko sasa. Vilevile jibuni hoja badala ya kutukana na kutisha kuna mengi ya kujivunia kwa Magufuli. Lakini msiweke fikra kwamba Magufuli hana kasoro au wengine hawapedwi
Sasa huo wivu tu kwa kuona walio serikalini wanafaidi sana.Hakuna mwenye uchungu upande huu kwa mujibu wa wanaccm watoa rushwa, ambao wanaogopa kutoka madarakani maana wanajua watoto wao wataenda haja kubwa wakiwa wamesimama.
Kwa taarifa yako maendeleo yanapaswa kwenda kwa kubalance, na sio kuumiza wengine, huku wanaotekekeza hayo wakiwa wanakula na kusaza, bila kujali wengine.