Hero
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 3,932
- 2,839
Tindo, upeo wako wa kuchanganua Mambo mbona mdogo Sana, hebu uwe unatulia maana hata chizi akinyamaza hudhaniwa Kuwa mwenye busara!Kwa tume hiyo ya uchaguzi, na jinsi inavyomtetemekea magu, hata hiyo 5% mbona nyingi sana. Sema 0.00001%. Ila narudia tena, ccm chini ya Magufuli haina uwezo wa kushindana kisiasa, na wala haitakuwa iweze kushindana kwenye box la kura. Maana sasa hivi hakuna ccm, bali kuna Magufuli na misukule yake iitwayo wanaccm, udhaifu wake wa kutoweza kushindana kwa box la kura, ndio imekuwa udhaifu vaa ccm. Ukishaona kwenye nchi sheria nyingi kandamizi zinatungwa kubeba udhaifu wa rais, ujue hiyo sio nchi yenye wananchi, bali ni makondoo wenye uhuru wa bendera.
Lofa mwenzenu alisema Tz tutashitakuwa na kufilisiwa alipokuwa anaitetea acacia...Unajua yaliyoikuta acacia🤣😂🤣! Imefutika ktk uso wa dunia🤣😂🤣! Corona ilisababisha chupi kuwabana mabwana zenu wote lakini chuma kilipoinika TU Corona Tz hata kwa electron microscope haionekani! Nyie endeleeni kubwabwaja kwa upungu wenu tutakapolianzisha mtaelewa TU maana nyie Hamna uwezo wa kuona mbele, mnasubiri TU matokeo kwa mshangao wakati wengine tulishayaona mapema! Magu ni namba nyingine bana msijiume mioyo🤔!