ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Njozi njemaTz ni China ya Afrika Mashariki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njozi njemaTz ni China ya Afrika Mashariki
Sasa huo wivu tu kwa kuona walio serikalini wanafaidi sana.
Kuna siku utakatalia jikoni kwa kuona mkeo anafaidi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachekesha kwa bidii yako ya kujifarijiJaribu kufuatilia hotuba za Lissu alipoanza kusaka udhamini mpaka sasa. Ziko kauli akiziongea ni kama watu huguna kimoyomoyo na kama wanaomsikiliza huwa down kimtindo.
Mtaji gani zaidi ya propagandaSisi CCM ni nani hata tupendwe na wote, wakati Mungu mwenyewe anapambana na upinzani toka kwa shetani !!
CCM inajivunia kuwa na watu wanaotambua juhudi zinazofanywa na rais aliyepo, kwani wanajua hii nchi ilipo, ilipotoka na inapokwenda.
Mpaka sasa tunao mtaji kubwa kwa Watanzania halisi acha mamluki wanaofurahia mwendo wa dereva wetu Magufuli, kwani kalimudu gari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaa walipangwa na DC Gambo?? ushahidi tunao. Cheki hao walevi ni raia wa Wapi.?
Watu walishaamka muda mrefu sana. Hapo mlipo mtabaki kutegemea hila, siasa chafu na propaganda mfu. Hizo Siasa mnafanya miaka hii ni za karne iliyopita ndio maana watu wamebaki wanawachora tu, huku mkitegemea matumizi ya nguvu kushurutisha kukubalika.
Karibu tenaWatu kuwa.. wengi.. siwo idadi ya kura.. mutoko wa watu kujionea.. wasema ni nini!!!!...
Kumbuka munawahi kabla kuwaomba wamupokee.. na munawapa pesa ya andazi moja.. waje wapigwe picha
Magufuli 💯
Unachekesha kwa bidii yako ya kujifariji
Tatizo kubwa la CCM ni kwamba hawafundishiki. Wahenga walisema kimya kingi kina kishindo. Kwa miaka mitano wapinzani kimyaa tena si kile kimya cha kawaida, ni kimya cha kulazimishwa. Sasa yabidi CCM ikae ikishuhudia kishindo cha kimya cha miaka mitano. Na hizi ni rasha rasha tu, za vuli ziko njiani. Safari hii kama ni push up zitapigwa hadi watu wazimie majukwaani. Tulionya lakini hatukusikilizwa kwa sababu watu wenyewe ni washamba na limbukeni, hawafundishiki.Walizima siasa....sasa wananchi ndio wana uchu vibaya wa siasa!
Watakoma ccm na mawe wao...
Full kukosea.....pay back time!
Ukijibishana na chizi ww ndio utaonekana chizi! Muda ukifika tutakwenda kwa wananchi na ilani siyo porojo! Waliotupa ridhaa ya kuiongoza nchi ni wananchi na siyo TL na mashoga zake! Tutawajibika kwa wananchi kwa kuwaeleza jinsi tulivyotekeleza ilani na kuwaelezea ilani ya 20-25!Tulishasema hapa idadi ya wabunge sio upinzani. Upinzani ni fikra. Ubunge na udiwani unaweza kuiba kura hata kulazimisha. Kitu ambacho huwezi kulazimisha ni upendo. Kama mtu anampenda mtu mwingine huwezi kualazimisha akupende wewe au kwasababu umemfanyia kitu fulani ni lazima akupende leo. Upinzani bado sio majority ya Watanzania lakini kuna watu kama 40%-45% ya Watanzania na zaidi ya hao kwenye miji mikubwa. Pamoja na kubanwa vyombo vya habari tunaona Zanzibar na Bara kwamba si kweli inawezekana hata upinzania ukawa na nguvu kuliko hata 2015. Kubana watu hakuzuii tena inawezekana kumeongeza umashauri maana wapinzani sasa wanaonekana kama mashujaa badala ya kuonekana wanasiasa wa kawaida.
CCM msikubali tena kuzuiwa kwa mikutano haisaidii na itakuwa ngumu hapo Magu akiondoka. 2025 upinzani utakuwa na nguvu kuliko sasa. Vilevile jibuni hoja badala ya kutukana na kutisha kuna mengi ya kujivunia kwa Magufuli. Lakini msiweke fikra kwamba Magufuli hana kasoro au wengine hawapedwi

Jiandae kushuhudia Tena hao washamba na malimbukeni lakini siyo mashoga wakiapishwa Tena na Tena ili uone aliye mshamba na limbukeni halisi ni yupo Sasa!Tatizo kubwa la CCM ni kwamba hawafundishiki. Wahenga walisema kimya kingi kina kishindo. Kwa miaka mitano wapinzani kimyaa tena si kile kimya cha kawaida, ni kimya cha kulazimishwa. Sasa yabidi CCM ikae ikishuhudia kishindo cha kimya cha miaka mitano. Na hizi ni rasha rasha tu, za vuli ziko njiani. Safari hii kama ni push up zitapigwa hadi watu wazimie majukwaani. Tulionya lakini hatukusikilizwa kwa sababu watu wenyewe ni washamba na limbukeni, hawafundishiki.
Mchawi anaweweseka.Tangu 2015 baada ya cdm kumpokea EL wengine tulishasema cdm hawatabaki salama na hatujawahi kubadili misimamo yetu. Wala hatubadili iwe masika iwe kiangazi. Hatushangai masahibu ya Lissu na wa aina yake maana wanalipia matendo yao. Alivuna alichopanda na ataendelea kuvuna atakachopanda. Hamna mizaha mizaha hapa.!!!
Mchawi anaweweseka.
Shilingi milioni 50 kwa kila kijijiUkijibishana na chizi ww ndio utaonekana chizi! Muda ukifika tutakwenda kwa wananchi na ilani siyo porojo! Waliotupa ridhaa ya kuiongoza nchi ni wananchi na siyo TL na mashoga zake! Tutawajibika kwa wananchi kwa kuwaeleza jinsi tulivyotekeleza ilani na kuwaelezea ilani ya 20-25!
TL na mashoga zake ni wa kupuuza ty kwa Sasa!
mi nikwambie tu ukwel, kama hujawahi kupata stroke basi huu uchaguzi ndo utapata! imefika mpaka hatua mgombea wenu anafanya kampeni watu wanamzomea, ni aibu! watu wanaenda kumshangaa lissu nyie mnahesabu kama wapiga kura sasa jiandaeni mkipata 5% sjui mtashukuru wap
Hivi ww hata familia unaiendeshaji kwa akili za hivi🤣😂🤣! Pole zao!Shilingi milioni 50 kwa kila kijiji
Za kusoma na kutafakari ILANI yetu ya kijani?Hivi ww hata familia unaiendeshaji kwa akili za hivi🤣😂🤣! Pole zao!
Kwa tume hiyo ya uchaguzi, na jinsi inavyomtetemekea magu, hata hiyo 5% mbona nyingi sana. Sema 0.00001%. Ila narudia tena, ccm chini ya Magufuli haina uwezo wa kushindana kisiasa, na wala haitakuwa iweze kushindana kwenye box la kura. Maana sasa hivi hakuna ccm, bali kuna Magufuli na misukule yake iitwayo wanaccm, udhaifu wake wa kutoweza kushindana kwa box la kura, ndio imekuwa udhaifu vaa ccm. Ukishaona kwenye nchi sheria nyingi kandamizi zinatungwa kubeba udhaifu wa rais, ujue hiyo sio nchi yenye wananchi, bali ni makondoo wenye uhuru wa bendera.
Narudia tena , kuiteketeza ccm inahitajika siku 7 tu , mpaka sasa ccm mbendembende , hapa wanachosubiri ni huruma ya Kaijage baaaasiiiiTulishasema hapa idadi ya wabunge sio upinzani. Upinzani ni fikra. Ubunge na udiwani unaweza kuiba kura hata kulazimisha. Kitu ambacho huwezi kulazimisha ni upendo. Kama mtu anampenda mtu mwingine huwezi kualazimisha akupende wewe au kwasababu umemfanyia kitu fulani ni lazima akupende leo.
Upinzani bado sio majority ya Watanzania lakini kuna watu kama 40%-45% ya Watanzania na zaidi ya hao kwenye miji mikubwa. Pamoja na kubanwa vyombo vya habari tunaona Zanzibar na Bara kwamba si kweli inawezekana hata upinzania ukawa na nguvu kuliko hata 2015.
Kubana watu hakuzuii tena inawezekana kumeongeza umashauri maana wapinzani sasa wanaonekana kama mashujaa badala ya kuonekana wanasiasa wa kawaida.