Uchaguzi 2020 Waliokuwa wanasema upinzani umekufa wamekuwa wapole ghafla

Kwa wale wanaoitakia mema hii nchi wanajua ukweli.
Upande wa pili hakuna viongozi bali ni mkusanyiko wa majizi na wahuni.
Sasa nchi hii ilipotoka leo mambo ni mswanu halafu ukabidhi kikundi cha wahuni!!
Endeleeni tu kukimbiza mwenge bado sana nyie mawakala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Uzuri watu walishaamka kitambo. Hata itumike nguvu kubwa kiasi gani, bado wananchi wanajua wanataka nini.
 
Jaribu kufuatilia hotuba za Lissu alipoanza kusaka udhamini mpaka sasa. Ziko kauli akiziongea ni kama watu huguna kimoyomoyo na kama wanaomsikiliza huwa down kimtindo.
 


Mkuu, baada ya lissu kupungia miti dodoma akienda kuchukua form na mbowe kukoswa na mawe kule hai ni dhahiri kabisa chama cheni kimechokwa, wale wengine mliwapa 5000 za mafuta ya boda boda lakini bado mliambuliwa mnajishangaaa wenyewe! kama umeweka imani sana lissu anashinda jiandae kisaikolojia: sehem zilizokua znawabeba upinzani ni kaskazini lakini kwa yaliomkuta mbowe jiandae tu kisaikolojia, kipindi cha kampeni ndo utapata angalau picha halisi ya watu wa lissu
 
Mataga wamejifungia lumumba, Wakili Lissu kawapoteza sahivi hawana kiki wanasubiri huruma za nec
 
Sasa mitutu ya nini
 
Unajipa matumaini hewa
 
Wanataka maendeleo na wanayaona sasa tena sio hadithi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani watu watakaongia watagawa nyundo na sururu ili miundombinu iharibiwe? Maendeleo ni zaidi ya miundombinu. Kwa bahati mbaya mnadhani maendeleo ni miundombinu tu. Watu wanahitaji zaidi ya miundombinu. Hakuna anayetaka miundombinu kisha akose ajira, uchumi wa mfukoni au anyimwe uhuru wake wa habari, na kidemokrasia eti kisa kuna kiongozi amejenga miundombinu kadhaa.

Ngoja waingie wengine muone maendeleo maana yake ni nini. Utawala huu unawalazimisha watu waamini kuwa demokrasia ni kikwazo cha maendeleo. Kaeni pembeni muone watu wakileta maendeleo na demokrasia juu.
 
Unajipa matumaini hewa

mm siongei kishabiki, i am telling you from facts: ata si uone jamaa wenu amekoswa na mawe kisa kumkosoa magufuli watu hawana ham na cdm, hao mnaowapa 5000 mtaishia presha sku ya kura: shauri yenu
 

Watu walishaamka muda mrefu sana. Hapo mlipo mtabaki kutegemea hila, siasa chafu na propaganda mfu. Hizo Siasa mnafanya miaka hii ni za karne iliyopita ndio maana watu wamebaki wanawachora tu, huku mkitegemea matumizi ya nguvu kushurutisha kukubalika.
 
mm siongei kishabiki, i am telling you from facts: ata si uone jamaa wenu amekoswa na mawe kisa kumkosoa magufuli watu hawana ham na cdm, hao mnaowapa 5000 mtaishia presha sku ya kura: shauri yenu
Hahhaa walipangwa na DC Gambo?? ushahidi tunao. Cheki hao walevi ni raia wa Wapi.?
 
Unadhani hao wengine wana jipya?
Nakwambia hakuna mwenye uchungu wa kweli na hii nchi upande huo.
Wote mpaka wewe mnawaza fursa za kupiga pesa.

Leo hii maendeleo gani utawaletea wananchi wako bila kuboresha huduma kwao.
Na ndio maana unaona awamu hii imejikita kwanza kuziboresha barabara, vituo vya afya, shule na mengi mengineyo.

Uwezi ukajikita kwenye kuongeza mishahara watumishi, kama kwanza hujaweka sawa njia za kupata uwezo wa kulipa mishahara watumishi wako. Na mishahara sio zoezi la mwezi mmoja ni endelevu ukumbuke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hakuna mwenye uchungu upande huu kwa mujibu wa wanaccm watoa rushwa, ambao wanaogopa kutoka madarakani maana wanajua watoto wao wataenda haja kubwa wakiwa wamesimama.

Kwa taarifa yako maendeleo yanapaswa kwenda kwa kubalance, na sio kuumiza wengine, huku wanaotekekeza hayo wakiwa wanakula na kusaza, bila kujali wengine.
 
Upinzani uko wapi??
 
Aliyempiga risasi Tl ndo kaimarisha upinzani, upinzani awamu hii bila uwepo wa lisu ingekuwa shida sana.

Kuna mtu/watu walimiminia mtu risasi 30+ wakapatia 16 tu ambazo zililenga sehemu ambayo mtu akilengwa anaweza kupona.

Imagine unapiga risasi 30+ hakuna hata moja inayolenga kifua karibu na moyo au kichwa.
 
Sasa huo wivu tu kwa kuona walio serikalini wanafaidi sana.
Kuna siku utakatalia jikoni kwa kuona mkeo anafaidi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…