Uchaguzi 2020 Waliokuwa wanasema upinzani umekufa wamekuwa wapole ghafla

Tindo, upeo wako wa kuchanganua Mambo mbona mdogo Sana, hebu uwe unatulia maana hata chizi akinyamaza hudhaniwa Kuwa mwenye busara!
Lofa mwenzenu alisema Tz tutashitakuwa na kufilisiwa alipokuwa anaitetea acacia...Unajua yaliyoikuta acacia🤣😂🤣! Imefutika ktk uso wa dunia🤣😂🤣! Corona ilisababisha chupi kuwabana mabwana zenu wote lakini chuma kilipoinika TU Corona Tz hata kwa electron microscope haionekani! Nyie endeleeni kubwabwaja kwa upungu wenu tutakapolianzisha mtaelewa TU maana nyie Hamna uwezo wa kuona mbele, mnasubiri TU matokeo kwa mshangao wakati wengine tulishayaona mapema! Magu ni namba nyingine bana msijiume mioyo🤔!
 
ccm watu walikua wameichoka kipindi lowasa anagombea ila saaahv mkuu nakuhakikishia kabisa hata uchaguzi ukiwa plain mkapewa muhesabu kura mnatoka kapa, hakuna haja hata ya fitina zozote , watu washaamka kitambo

Kama ccm sasa hivi ndio inakubalika sana, ni kipi kimefanya chaguzi zote za marudio kunajisiwa, na huu uchaguzi wa SM za mitaa ndio mkafanya upuuzi wa hali ya juu? Au hii hofu mliyowatia wananchi ndio mnadhani ccm inakubalika sana?
 

Sina chembe ya shaka ya nilichosema kwenye uzi ulioniquote.
 
Sio ya kura halali boss.
We huwa fahamu TU wapiga Kyra wa Tz eeh🤣😂🤣! Kamuulize rafiki yake Joti! Kungekuwa na uwezekano wa vituo vyote viwe live mngeshuhudia wenyewe wakati wa kuhesabia Kyra TL akiambulia yai TU ndie mngewaelewa watz🤣😂🤣! Kyra zao walishapanga miaka 3 iliyopita kumpa Magu🤔!
 


Watanzania ni lazima tujue zoezi la kutaka kuwa kama China Nyerere alijaribu na kushidwa, Nyerere huyo huyo aliona ni bora vyama vingi kuliko mfumo wa zamani wa ujamaa na kujitegemea. Sasa sababu kubwa ya kushidwa ni kwamba utamaduni wa Tanzania ni tofauti. Kabla ya wakoloni hatukuwa na nchi tulikuwa na kaya na makabila tu. Utamaduni nwetu haufanani kuna wamasai na wapemba huwezi kusema wana utamaduni mmoja. China inawezekana pale tu ambako karibu kila kitu watu ni sawa kule hata dini haziruhusiwi!, yaani serikali inaweza kusema kuzaa mwisho mtoto mmoja. Tanzania haijawahi na wala haitawahi kuwa kama China. Tutapiga watu, tutazuia watu kuongea lakini matakwa ya watu hayawezi kukubali kuonewa au kunyimwa uhuru. Ni Watanzania wachache sana watakubali udikteta kwa kisingizio cha maendeleo hizo sera hazitafanikiwa. Tujifunze Uganda Museveni kaleta maendeleo sana lakini Waganda wamemchoka na hawezi kushinda uchaguzi kihalali.
 
Kama ccm sasa hivi ndio inakubalika sana, ni kipi kimefanya chaguzi zote za marudio kunajisiwa, na huu uchaguzi wa SM za mitaa ndio mkafanya upuuzi wa hali ya juu? Au hii hofu mliyowatia wananchi ndio mnadhani ccm inakubalika sana?


nadhan mpaka apa utakua ushajua kwann chadema hali yenu ni mbaya

na pia jumlisha hii
 

Uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara.
 
Hadi wameshindwa hata kutangaza majina ya wagombea ubunge na udiwani...
 
Huna hoja mpya ndio maana kila mara unapost huu utoto.

hizo sio hoja ni maoni ya wananchi, kama mlikua mnaskia presha kutoka kwa watu wengine jiandaeni zamu yenu sasa
 
Tumaini lao lipo kwa tume ya uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…