Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaa wacha nicheke na watasemwa mpaka wajue gharama za kubebwa bebwa hovyo. wanajifanya wameshazoea sasa hivi kule hakuna mpinzani so ukipewa maneno unapewa kwa fujo zote sababu wabaya wao wote hawapo tena ndo atakapowachamba sasa mpaka waite maji mma uzuri wananyenyekea mishahara na posho picha litaanza na Movie za Kutumbua tumbua badae kujiuzulu na kustaafu kwa hiyari,kung'atuka,kushushwa madaraja then watapigwa Onyo asiyeweza kasi/ spidi yangu atoke maana sitamvumiliana hao wanaopaswa kupiga makofi ole wao wasipige, watasimangwa hadharani na vibao juu, wateule sasa watakuwa kama watoto wanaoishi na mama wa kambo. Itakuwa kutwa masimango ya kuwa mmewekwa tu hapo halafu hamshangilii.
Usiwe boya wewe..Kwa wale mliokua mnapenda hesabu darasani. Magufuli amechaguliwa na watanzania 12.5 million. Watu katika daftari la wapiga kura waliojiandikisha Tanzania nzima 29.8.
Roughly ni kua 42% ya watu wooote wenye vitambulisho vya kura ndio wamemchagua Magufuli.
Hii figure mnaionaje wananzengo?
Hahahaaa, duu, mimi nacheka tu..Haa[emoji16][emoji23][emoji28][emoji1][emoji57]
Tutasikia Mengi Zaidi Tukubali Ujanjaujanja Tu
Mimi Msiponiletea Huyu Mtajuta!!
Usinichanganyie Battery Na Gunzi Hiyo Torch Sitaiwasha, Usinichanganyie Gongo Rubisi Na Kabugumo.
Kama Unataka Kunywa Gongo Kunywa Yenyewe Usije Ukatuangusha.
Kura Za Maruhani, Waangalizi Nao Wamechangamka Nadhani Wamekunywa
Kabugumo Yaani Wao Wanasema Nzuri
Haa[emoji3][emoji16][emoji23][emoji28][emoji1][emoji52]
Mkuu kujiandikisha kupiga kura na kupiga kura ni vitu viwili tofauti.Kwa wale mliokua mnapenda hesabu darasani. Magufuli amechaguliwa na watanzania 12.5 million. Watu katika daftari la wapiga kura waliojiandikisha Tanzania nzima 29.8.
Roughly ni kua 42% ya watu wooote wenye vitambulisho vya kura ndio wamemchagua Magufuli.
Hii figure mnaionaje wananzengo?
Vipi? 84% ya kura zilizopigwa imekukera nini?Turn up anzisha uzi mwingine mama. Huu uzi umeisha.
Hata angeshinda nani hesabu zingepogwa tu. Kwani shs ngapi
Waliojitokeza ni asilimia ngapi ya waaliojiandikisha?Kwa wale mliokua mnapenda hesabu darasani. Magufuli amechaguliwa na watanzania 12.5 million. Watu katika daftari la wapiga kura waliojiandikisha Tanzania nzima 29.8.
Roughly ni kua 42% ya watu wooote wenye vitambulisho vya kura ndio wamemchagua Magufuli.
Hii figure mnaionaje wananzengo?
Hongera kwa Rais mteuliwa wa NEC.
Umenichekesha. MTU kajiandikisha kupiga kura harafu Na kampeni zote hakupiga. Unajua kwa nini? Hakua Na matumaini kama kura yake itazingatiwa .... Inaashiria WIZI.Hesabu nzuri ni kwa waliopiga kura na sio waliojiandikisha.
Kila ulichoandika umepatia nisawa kabisa.Mkuu kujiandikisha kupiga kura na kupiga kura ni vitu viwili tofauti.
Kwenye uchaguzi duniani kote,kula zinazohesabiwa ni zilizopigwa sio waliojiandikisha.
Kitu kingine ambacho unatakiwa kujua ni kwamba huu uchaguzi wa katikati,kwa kawaida wapiga kura huwa hawapigi kura kwa wingi,na kuna sababu.
1- Wengine huwa wanaona aliyepo wadarakani atapita tu hata bila kupigiwa kura.
2-Wengine huwa wanaona upinzani ni dhaifu aliyeko madarakani hawamuezi.
3-Wengine huwa hawapo kwenye vituo vya kupiga kura kwa sababu mbalimbali, kama safari,ugonjwa,kupuuzia tu au na hata kifo.
Kwa kujibu hoja yako,kura zinazohesabiwa duniani kote, ni kura halali zilizopigwa,maana yake kura ikiharibika haitakiwi,na sio watu waliojiandikisha kupiga kura.
Kwa mantiki hiyo, hata wapigakura wangekiwa milioni tano,bado mshindi angetangazwa kwa wingi wa kura halali alizopata.
Milioni 15 ndio walijitokeza kupiga kura. Ambayo ni sawa tu 50%Waliojitokeza ni asilimia ngapi ya waaliojiandikisha?
Kwanini Chadema walifeli kumobilise watu wao wakapige kura?
Maana hata mke wa Tundu Lissu tu hakujisumbua kurudi toka Ubelgiji kuja kumpigia kura.
Hapa ndipo walipofeli sana Chadema.