Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia kuna kitu walikuwa wanabishana kabla hajakamilisha kama ulifuatilia Na akasahau kuzima mic. Alisikika akisema "wanatutazama watahisi kuna......." kachukua fomu katangaza.Tume ilipokuwa ikitangaza matokeo ya UBUNGE ilitaja kila kitu kwa asilimia zake, yaani waliojiandikisha vs waliopiga kura, kura zote vs kura halali, kura zote vs kura zilizoharibika, na mwisho kura halali vs kura za kila mgombea. Lakini wakati wa kutangaza matokeo ya Urais, hakuna hata figure moja iliyowekwa kwenye asilimia. Binafsi nilihisi uchache wa watu waliomuweka madarakani mgombea unaweza ukawa sababu ya kufichwa hizo asilimia
Acha upumbavu wako.Hao ndio walipiga kura ? Mmebwekabweka sana humu JF wakati wa kampeni.Hamjakoma tu kwa matokeo haya ? Nyau nyie !!!!Kwa wale mliokua mnapenda hesabu darasani. Magufuli amechaguliwa na watanzania 12.5 million. Watu katika daftari la wapiga kura waliojiandikisha Tanzania nzima 29.8.
Roughly ni kua 42% ya watu wooote wenye vitambulisho vya kura ndio wamemchagua Magufuli.
Hii figure mnaionaje wananzengo?
NB: Watu waliojitokeza kwenda kupiga kura jumla ni milioni 15 sawa na 50%. Inamaana nusu ya wapiga kura hawakuenda kupiga kura.
Aloo tumewaza pamoja etiMimi nina hamu ya kusikia hotuba ya siku ya kuapishwa maana sasa hivi atakuja na chuki za wazi kujua kuwa angeenda kwa njia ya watu walivyochagua saa hizi angekuwa anapanga anunue mbegu gani za mpunga kuanza kupanda Chattle. Sasa basi kwa hasira ya kujua wazi kuwa hapendwi tusubiri makatazo ya kila namna. Ni mwendo wa kuishi ki north korea tu.
tuanze kuzoea kutumia VPN maana si ajabu ikawa ndio mabadiliko ya kwanza ya kudumu, hii ni katika kulipiza kisasi cha kumfedhehesha.
Milioni 15 ndio walijitokeza kupiga kura. Ambayo ni sawa tu 50%.Acha upumbavu wako.Hao ndio walipiga kura ? Mmebwekabweka sana humu JF wakati wa kampeni.Hamjakoma tu kwa matokeo haya ? Nyau nyie !!!!
Kumbuka na ktk hiyo 42% kuna kura fake kibao! Binafsi sikuhangaika kwenda uchaguzi kwa sababu wahusika walijulikana toka mwanzo kwamba hawaamini sanduku la kura.Kwa wale mliokua mnapenda hesabu darasani. Magufuli amechaguliwa na watanzania 12.5 million. Watu katika daftari la wapiga kura waliojiandikisha Tanzania nzima 29.8.
Roughly ni kua 42% ya watu wooote wenye vitambulisho vya kura ndio wamemchagua Magufuli.
Hii figure mnaionaje wananzengo?
Ila kashinda asilimia zote waachie internet banaMimi nina hamu ya kusikia hotuba ya siku ya kuapishwa maana sasa hivi atakuja na chuki za wazi kujua kuwa angeenda kwa njia ya watu walivyochagua saa hizi angekuwa anapanga anunue mbegu gani za mpunga kuanza kupanda Chattle. Sasa basi kwa hasira ya kujua wazi kuwa hapendwi tusubiri makatazo ya kila namna. Ni mwendo wa kuishi ki north korea tu.
tuanze kuzoea kutumia VPN maana si ajabu ikawa ndio mabadiliko ya kwanza ya kudumu, hii ni katika kulipiza kisasi cha kumfedhehesha.
Pia mwaka huu waliopiga kura hawafiki milion maana watu walikuwa hamna vituoni, wazee ndio walikuwa wengi, hyo milion kumi na mbili siamini. In short watu waligomea uchaguziTume ilipokuwa ikitangaza matokeo ya UBUNGE ilitaja kila kitu kwa asilimia zake, yaani waliojiandikisha vs waliopiga kura, kura zote vs kura halali, kura zote vs kura zilizoharibika, na mwisho kura halali vs kura za kila mgombea. Lakini wakati wa kutangaza matokeo ya Urais, hakuna hata figure moja iliyowekwa kwenye asilimia. Binafsi nilihisi uchache wa watu waliomuweka madarakani mgombea unaweza ukawa sababu ya kufichwa hizo asilimia
Ni kweli kabisa, wapiga kura hawakufika milioni 10 kabisa, case study za vituoni zinajionyesha dhahiriPia mwaka huu waliopiga kura hawafiki milion maana watu walikuwa hamna vituoni, wazee ndio walikuwa wengi, hyo milion kumi na mbili siamini. In short watu waligomea uchaguzi
Hata milion tano ni nadra kufika hasa huku Dar ndio usiseme, watu hawapigi kura then baadae wanaanza kulalamika kuhusu uwakilishi, Wanaolia kura kuibwa hata kura hawajapigaNi kweli kabisa, wapiga kura hawakufika milioni 10 kabisa, case study za vituoni zinajionyesha dhahiri
Mpaka asubuhi ya 28/10 viongozi wa mitaa walikuwa wanapita kwa wanachama wao kucheki wino kwenye vidole. Waliwatumia sms kuwahamasisha wakapige kura.Milioni 15 ndio walijitokeza kupiga kura. Ambayo ni sawa tu 50%
Hilo la Chadema ngoja viongozi wao waje jibu bwashee japo ni hoja fikirishi
Kachaguliwa na NECKwa wale mliokua mnapenda hesabu darasani. Magufuli amechaguliwa na watanzania 12.5 million. Watu katika daftari la wapiga kura waliojiandikisha Tanzania nzima 29.8.
Roughly ni kua 42% ya watu wooote wenye vitambulisho vya kura ndio wamemchagua Magufuli.
Hii figure mnaionaje wananzengo?
NB: Watu waliojitokeza kwenda kupiga kura jumla ni milioni 15 sawa na 50%. Inamaana nusu ya wapiga kura hawakuenda kupiga kura.
Ndiyo kinachofuata mkuuna hao wanaopaswa kupiga makofi ole wao wasipige, watasimangwa hadharani na vibao juu, wateule sasa watakuwa kama watoto wanaoishi na mama wa kambo. Itakuwa kutwa masimango ya kuwa mmewekwa tu hapo halafu hamshangilii.