masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
- Thread starter
-
- #21
Kifo ni mpango wa Mungu na kila mtu anatembea nachoBtw, tuliambiwa humu kuwa Magufuli alikufa mapema kwa sababu ya madhambi yake; sasa huyu binti amekufa kwa sababu ya madhambi ya nani?
Conclusion za makamanda wakati mwingine ni za kijinga sana!
Umeeleza vizuri sana. Kuna watu wajinga wasioheshimu sayansi kwahiyo ukifanya utafiti kwa mambo wasioyaoyapenda hawataki kusikia matokeo yake. Iwapo angefanya utafiti kuwa watu wangapi na wa marika gani wanampenda Magufuli na akatoa matokeo yake angepandishwa na cheo
Mkuu mbona umepanic!Msifanye watu humu wajinga si kila tafiti zikifanyika basi unakurupuka kutangaza hasa tafiti za magonjwa makubwa...usifananesha utafiti wamagonjwa makubwa na utafiti wa vikoba!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnasumbua watu kutuletea story za vibaraka humu...!!
alikuwa anaisakama familia ya MALECELA! alimpa mke wake ukuu wa mkoa halafu akamtumbua usku usku kwa ishu ya vyeti feki baadae akaona aibu akampa ubunge viti maalum!Dr Mwele alikuwa kipenzi cha watu.
Hakuwahi kufanya siasa kwa muda mrefu, lakini uthubutu wake, hasa akiwa mwanamke msomi na mwanasayansi uliwagusa wengi.
Kuna ambao hawakumpenda kwa sababu hizo.
Lakini huu msiba wake umeonyesha alivo moyoni mwa watu.
Magufuli alimfukuza kazi Dr Mwele, saa sita za usiku.
Magufuli lazima alipelekewa umbeya wa kufitinisha, naye kwa vile kulikuwa na kitu rohoni mwake akasema hapahapa, wala hakukuchi!
Lakini dunia ni mviringo, sijui wafitini, na wanajulikana, wanajisikiaje sasa.
Hebu acha kuandika gazeti kubwa wambie watu hata wasio elewa maana ya tafiti...mtu akisema kuna viashiria vya ebora baada ya kuwapima watu kumi na kuwakuta wawili wana viashiria vya ebora!
Hebu twambie kwa lugha nyepesi hapa mtu anakuwa ameingea nini?
Hebu wambie watu hapa kama utafiti ni jambo la uongo kiasi kwamba haikuwa na ulazima wa serikali kuchukua hatua...
Hebu wambie watu hapa kwa lugha rahisi kuwa utafiti au matokeo ya utafiti si jambo ambalo watu wanatakiwa kutilia maanani!
Hebu wambie watu kama wewe unajua taratibu za kutoa taarifa za tafiti kwa magonjwa ambayo yanaweza kuitwa majanga....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani mkuu huoni baada ya kufukuzwa na zika ikajifukuza yenyewe.Dr Mwele alikuwa kipenzi cha watu.
Hakuwahi kufanya siasa kwa muda mrefu, lakini uthubutu wake, hasa akiwa mwanamke msomi na mwanasayansi uliwagusa wengi.
Kuna ambao hawakumpenda kwa sababu hizo.
Lakini huu msiba wake umeonyesha alivo moyoni mwa watu.
Magufuli alimfukuza kazi Dr Mwele, saa sita za usiku.
Magufuli lazima alipelekewa umbeya wa kufitinisha, naye kwa vile kulikuwa na kitu rohoni mwake akasema hapahapa, wala hakukuchi!
Lakini dunia ni mviringo, sijui wafitini, na wanajulikana, wanajisikiaje sasa.
Baada ya kufukuzwa na zika ikajifukuza yenyewe aiseeee
Nao wanatuma salamu za rambirambiDr Mwele alikuwa kipenzi cha watu.
Hakuwahi kufanya siasa kwa muda mrefu, lakini uthubutu wake, hasa akiwa mwanamke msomi na mwanasayansi uliwagusa wengi.
Kuna ambao hawakumpenda kwa sababu hizo.
Lakini huu msiba wake umeonyesha alivo moyoni mwa watu.
Magufuli alimfukuza kazi Dr Mwele, saa sita za usiku.
Magufuli lazima alipelekewa umbeya wa kufitinisha, naye kwa vile kulikuwa na kitu rohoni mwake akasema hapahapa, wala hakukuchi!
Lakini dunia ni mviringo, sijui wafitini, na wanajulikana, wanajisikiaje sasa.
Sasa wewe umeandika nini na mimi nimeandika nini? Kwa hiyo alitangaza kuna Zika au hakuna?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unawajua hao wafitiniDr Mwele alikuwa kipenzi cha watu.
Hakuwahi kufanya siasa kwa muda mrefu, lakini uthubutu wake, hasa akiwa mwanamke msomi na mwanasayansi uliwagusa wengi.
Kuna ambao hawakumpenda kwa sababu hizo.
Lakini huu msiba wake umeonyesha alivo moyoni mwa watu.
Magufuli alimfukuza kazi Dr Mwele, saa sita za usiku.
Magufuli lazima alipelekewa umbeya wa kufitinisha, naye kwa vile kulikuwa na kitu rohoni mwake akasema hapahapa, wala hakukuchi!
Lakini dunia ni mviringo, sijui wafitini, na wanajulikana, wanajisikiaje sasa.
Mzee tulia huko kwenu Mbeya. Siku zako zilishamalizika.Poleni wafitini.
Magufuli akiamka leo atakutana na takwiku za Covid , alizozipiga marufuku.
Daraja la Busisi linaendelea vizuri sanaJiwe alikuwa taahira a.k.a kichaa. Aliutangazia umma mwenyewe kwamba yeye ni kichaa
Mkuu sayansi ya utafiti kwa wenye roho nyepesi, wanafikiri ni uchuro au uchawi.Hapa ndio tunapopata shida.
Zika unaweza kupata na usipate dalili na si dalili zote ni specific.
Hii ilikuwa retrospective study, haikumaanisha kulikuwa na active state by then.
Unalosema ni sawa. Utafiti wao ulihusisha watoto 80 wenye mwonekano kama hao unaosema wa Brazil. 35% wakawa positive. Shida ilikuja pale aliposema Zika ni endemic Tanzania.Pale Dr. Mwele hakutangaza outbreak ya Zika. Alikuwa anaelezea matokeo ya tafiti zilizofanyika. Moja ikihusisha watoto wenye mwonekano kama wale wa wazazi waliopata Zika kule Brazil.
Na matokeo yalikuwa chanya, yakiwa yamefanywa kwa PCR machine. Hii ilionyesha kuwa nasi hatujajitenga na haya matatizo kwani karibu nasi kuna nchi ambazo zilikwishapata Zika (mipaka yetu haina makomeo ya ugonjwa).
Uongozi wa juu ukapaniki, kwani haya ni mambo ya science, Zika ni lifelong/matatizo na uwepo wake unaweza kutambuliwa hata ndani ya miaka yote ya maisha yako. Hivyo, mtu akipata unaweza kupata ushahidi wakati wowote.
Hakumaanisha tulikuwa na outbreak, katafute kwenye kile kikao kama kuna neno outbreak au tuna janga la Zika.
Ila kupaniki kwa uongozi kulisukumwa na kilichokuwa kinaendelea Brazil na nchi za karibu na huko.
Huyi jamaa yenu alikufa na chuki yake!Mzee tulia huko kwenu Mbeya. Siku zako zilishamalizika.
Kuhamia Dodoma yalikuwa maamuzi ya hovyo with heavy loose of multibillion USD , Dr mwele ni moja ya watu wa hovyo zaidi ndo mana alifukuzwa na hakuna haja ya kuandika upuuzi wake humu , alale Kwa Amani huko Aliko , kuna mambo Maghufuli aliyafanya kiume hakuna Raisi wa kumfikia labda azaliwe mwingine hayo nitamtetea whatever the case , na kuna mambo alichochora vibaya mno hayo pia nitampondaMaamuzi ya Serikali kuhamia Dodoma yalitawaliwa na ukurupukaji mkubwa
Dodoma kuwa makao makuu ilitakiwa kazi ifanyike na itiliwe mkazo kwa ustadi toka awamu ya Kwanza ya utawala, kulazimisha sa hv Kuhamishia kila kitu kwenda Dodoma ni kuumiza rasilimali fedha ya nchi ambayo ipo strictly limited. ✓Dar esalaam ilikuwa imejitosheleza Kwa kila kitu , kuanzia majengo...www.jamiiforums.com