Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Akili zile zile za kijuaji, hapa tunaongea kwa maandishi na tayari umeshajipatia haki ya kuwa juu yangu mimi!.Sihitaji..sabb naielewa dunia kuliko unavyoielewa wewe, mnaita wawekezaji kwa kutupa jiwe gizani..as if wawekezaji waliofanikiwa hawajulikani..bora Kikwete alifahamu matokeo ya kutupa jiwe gizani hayakuzaa matunda akabadilisha approach akampata Dangote..mambo madogo km haya unahitaji kufundishwa au kuijua dunia ya leo..
Dunia hubadilika mkuu, na mahusiano ya kibiashara huenda yakibadilika, kwamba JK alifanya hvi sio kigezo cha Samia naye kufanya hivyo hivyo alivyofanya.
Tukumbuke ni sisi tuliomponda JPM kwa kutosafiri kwenda huko nje, kwamba anakiogopa kingereza na hana ushawishi miongoni mwa watu wa kimataifa.
Leo hii tumepata rais anayetambua kuwa uwekezaji ni lazima utafutwe huko nje, tunarudia mawazo yetu yale yale ya kumuona JPM na watangulizi wake kwamba walikuwa sahihi.
SSH afanye anavyoona yeye inafaa kwa faida ya Jamhuri ya Muungano anayoiongoza, hii miluzi ni mingi sana itampoteza mbwa.