Wewe unanijua..miaka 60 leo toka enzi za Mwalimu bado akili inafikiria majibu ya matatizo ya ndani lazima yatoke nje? Siasa za dunia zama za Mwalimu ziko sawa na sasa? unafikiri sawa sawa wewe..tunataka viongozi wenye majibu kutatua matatizo ya nchi hapa ndani, rushwa, uvivu wa kufikiri, matumizi mabaya ya mali za umma, wizi, ubinafsi, mifumo mibaya ya uongozi, nepotism, umangimeza nk..utajenga familia km akili yako kila siku inawaza jirani akusaidie hata kwa mambo ungefanya mwenyewe..hicho ndicho hatutaki, mtu akiambiwa ana akili amekalia utajiri ni propaganda? hakuna nchi iliumbwa maskini, ila wapo maskini wa kufikiri kwa kutotaka kutumia akili walizopewa kwa kiwango kinachopaswa, ni bahati mbaya watu km hao wawe viongozi..ndicho kinatokea Tanzania.