Waliompiga mawe Askofu Gwajima kuhusu sintofahamu ya chanjo, njooni hapa. Mtalipa fidia gani kwa waathirika wa chanjo?

Waliompiga mawe Askofu Gwajima kuhusu sintofahamu ya chanjo, njooni hapa. Mtalipa fidia gani kwa waathirika wa chanjo?

Umepost utopolo.
Nikifikiri utapost experience za humu nchini kumbe umeshabikia hot air.
Mimi nimechanja JJ na booster ya pfizer(sindano mbili) , mambo yote shwari.
Ni mapema kusema mambo shwari kwa sababu, sayansi siyo siasa. kwamba ameshinda kura am akaiba kura unaishia hapo. Unapashwa kusubiri angalau miaka 2 ipite, uone na watoto unaozaa na wajukuu zako kama watakuwa binadamu na hali zao kama ulivyokuwa wewe kabla hujachanjwa. Sayansi hii mtu wangu.
Bahati mbaya, sana uli uone kuna hila, hata yale madhara ya wazi na moja kwa moja yanayoweza kuwapata watu hayazungumzwi.
Ukidhurika, hakuna anayeweza kusema moja kwa moja kwamba madhara haya ni ya chanjo. Kila mtu anaogopa. Sana sana watachukua taarifa za maendeleo yako na namna unavyobailika na dallili zinazojitokeza ili wapeleke taarifa kwa wachunguzi. Only satanic spirit can impart courage to alt human beings into laboratory rats.
 
1: Tujifunze kwanza mpaka chanjo inaingia kwenye clinical trial na phase three unaelewa maana yake?
Unaelewa nini kinazingatiwa?
Nenda kasome drug discovery and development then soma how clinical trials are monitored.

Pia, nitakuomba unijie na jina la dawa moja duniani ambayo haina side effect/s kwa mwanadamu. Watu wanachoangalia ni does the benefits outweigh the risks? And to what extent?

2: Madhira ya chanjo nimeeleza kwa uwazi. Kama chanjo inaweza kuingilia DNA hata maambukizi ya Covid yenyewe athari ni zilezile. Na hatujaona mpaka sasa mabadiliko makubwa ya ini zaidi ya watu kupata viral hepatitis. Hivyo, hakuna cha kushadadia hapo. Na hii watu walikuwa wanafuatilia kwa nini PCR inaendelea kudetect viral load kwa muda zaidi baada ya mgonjwa kupona. Kama ingekuwa ni suala la kudumu watu wasingekuwa negative baada ya muda. Hivyo, utaratibu wake siyo kama ilivyo kwa HIV.

Wenzetu wanajua what is the power of scientific research, wan-foresee vitu vingi. Sisi tunajua power of politics na umbea, hata kusoma available materials ni tatizo. Ndo maana tunaruka na vitaarifa vidogovidogo tika kwa anti- vaccine groups.
You are far behind the theme. Kinachoongelewa kiko long rooted. Leo hii nikianza kukuleta tangu mwanzo wa hizi chanjo, wapi kulikuwa violated, grounds za underlying worries, physical evidences, na intent ya ku hide serious immediate adverse reactions, background ya covid-19 pandemic, move ya kuibatiza endemic etc, kwe wewe uliyekariri clinic trials na uka assume kwamba kila kitu kinafanyika namna uliyokariri, itakuwa vigumu.

Nenda kasome uelewe, uje na relevant points. Usinishushe huko ni chini sana na mbali na mahala nilipo mimi.
 
Ni mapema kusema mambo shwari kwa sababu, sayansi siyo siasa. kwamba ameshinda kura am akaiba kura unaishia hapo. Unapashwa kusubiri angalau miaka 2 ipite, uone na watoto unaozaa na wajukuu zako kama watakuwa binadamu na hali zao kama ulivyokuwa wewe kabla hujachanjwa. Sayansi hii mtu wangu.
Bahati mbaya, sana uli uone kuna hila, hata yale madhara ya wazi na moja kwa moja yanayoweza kuwapata watu hayazungumzwi.
Ukidhurika, hakuna anayeweza kusema moja kwa moja kwamba madhara haya ni ya chanjo. Kila mtu anaogopa. Sana sana watachukua taarifa za maendeleo yako na namna unavyobailika na dallili zinazojitokeza ili wapeleke taarifa kwa wachunguzi. Only satanic spirit can impart courage to alt human beings into laboratory rats.
Ulichoma polio?
Sasa ukoje baada ya miaka?
Msiwe pessimists kwenye sayansi.
Mlisema hapo nyuma ooooh ukichanja tu shilingi zinakuganda , na watu wanakuwa mazombie!!
Duniani kote watu waliochanjwa:

Coronavirus (COVID-19) vaccines​

Tanzania progress : Updated 11 Mar at 3:00 am local

2nd dose administered
2,779,782 (6.6%)

1st dose administered
3,595,010 (8.6%)

Global Progress : Updated 16 Mar at 10:44 am local

2nd dose administered
4,466,089,916 (56.9%)

1st dose administered
5,020,944,817 (64.0%)

Total population
7,845,261,000
Doses per 100 people
140.21

Ref: Data from: CDC · WHO · ECDC · Wikipedia · The New York Times · See full list

Halafu mtoa mada hujachanja na unaleta longolongo!
Shame on you!!
 
You are far behind the theme. Kinachoongelewa kiko long rooted. Leo hii nikianza kukuleta tangu mwanzo wa hizi chanjo, wapi kulikuwa violated, grounds za underlying worries, physical evidences, na intent ya ku hide serious immediate adverse reactions, background ya covid-19 pandemic, move ya kuibatiza endemic etc, kwe wewe uliyekariri clinic trials na uka assume kwamba kila kitu kinafanyika namna uliyokariri, itakuwa vigumu.

Nenda kasome uelewe, uje na relevant points. Usinishushe huko ni chini sana na mbali na mahala nilipo mimi.

Una evidence leta kama unajua unachofanya na una uhakika.
Tuko kwenye mjadala wa wazi hapa. Hakiki chanzo chako cha taarifa na wataalamu wako kabla haujazimwaga hapa.

Kwa hiyo, wewe ndo una vifaa vya kuhakiki dawa kuliko FDA zilizoko kila nchi dunia nzima au hata hujui utaratibu wa kuingiza dawa kila nchi unajitegemea na FDA ya nchi husika? Wao waliozipokea hizo chanjo toka kwenye hizo kampuni ni hamnazo, ila wewe ndo una siri ya dunia.

1: Sijui kama unajua Paracetamol uliyokunywa mwaka jana ilipitia mnyororo gani kukufikia kwenye mdomo wako, lakini unashupaza shingo ya chanjo.

A: SARS ilipowapiga Wachina 2002 -2004 mbona hamkusema ni hujuma?

B: SARS ilipopiga Middle East 2012 mbona hamkusema hujuma?
Mnajua watu walifanyia kazi kiasi gani hayo yaliyotokea wakati huo?

Unajua simu unayotumia kuandika huu utopolo inaweza kutumika kama siraha ya maangamizi kwako?

Theory ipi ya uchumi inakwambia ua soko la bidhaa zako ili ufanikiwe?

Wewe ni threat kiasi gani kwa mzungu mpaka ahangaike na wewe kiasi hicho wakati mawazo yako mwenyewe haujitoshelezi/not innovative hata kwa graceful environment uliyonayo?

Kama huwezi kuamini taratibu na vyombo tulivyojiwekea na misingi yake basi jifahamu unakuwa Paranoid. Utaanza kukikimbia kivuli chako.

Dawa zote zilizoko madukani, hakuna hata moja ametengeneza binamu yako, kaka yako, dada yako, ukiumwa unaenda wapi?
Ni nani amesimamia hizo dawa mpaka ziko dukani hapo?

Umeshindwa kutenga hata kisamvu na Cyanide unakula, lakini unaona una ufahamu wa hali ya juu kuhusu mfumo wa ugunduzi, kuendeleza na kusupply dawa individually kuliko institution zilizopewa mamlaka kisheria.

Nenda katembelee crinical trial hata moja jifunze nini kinafanyika ili wakati unarudia kusoma haya mambo yako ujione unavyozunguka porini.

2: Mnakomaa na conspiracy theories na taarifa za anti-vaccine groups na kuona ndo uelewa wa hali ya juu. Hawa watu wapo tangu 1956 kazi yao ni kuwazoazoa watu kama wewe. Kuna mataifa yalishaonja joto ya jiwe kwa kujitoa kwenye mpango wa chanjo hata hizo ulizochoma za under five na walikiona cha moto wakarejea.

Waulizie Nigeria 2003, kule Kano, Zamfara na Kaduna walipata nini na tatizo lilikuwa nini? Na nchi nyingine zilizolishwa hayo unayoyakumbatia mifano ipo mingi ya anti-vaccine campaign groups.

Usishadadie kila unachoona kimeandikwa kwenye mtandao ukaona ndo uhalisia.
 
Chanjo yaanza kubadilisha utu wa binadamu. Ni kipindi cha ukweli na uwazi. Msiwafanye Watanzania mazezeta ama kwa makusudi, ama kwa kutokujua kwenu, ama kwa vyoyote vile.

Kama mnavyotoa takwimu za wachanjwaji, mnaweza kutoa takwimu za kweli za wahanga wanaoganda damu na madhara mengine?

Mlimbishia Gwajima mkampiga mawe, leo hii mnasemaje, pale wataalamu wanaposema sasa chanjo imeanza kuingilia ubinadamu wa wahanga?

This is serious. Naomba mjadili hapa kwa kumheshimu Mungu muumbaji, na siyo kulinda vyeo ama kufisha aibu kwa sababu, liko kubwa linakuja ambalo kabla haliljafika, unaweza kuona wewe bingwa na mjanja.

Bila shaka ww ni kondoo
 
Nilichanjwa Polio,Sulua,na pepopunda bila idhini yangu.....Nimechanja chanjo ya Corona Pfizer double dose kwa Idhini yangu... Damu yangu iwe juu yangu mwenyewe maana waliotoa idhini nichanjwe polio hii ya Corona walinikataza.......by the way hakuna atakayeishi milele tuliochanjwa na wajanja ambao hawajachajwa wote safari moja no need to worry.
 
Back
Top Bottom