Waliompiga picha na kuzisambaza binti anayehusishwa na chupa ya soda wanafaa kuchukuliwa hatua

Rubbish
 
Kiukweli hata mimi kwa sasa naskia ukakasi kununua hizo soda za chupa, bora kuhamia juice za box tu.
 
Mimi nakuunga mkono hata kama utashambuliwa na watu wanaojiona watakatifu wakati kila siku wananunua Malaya pale Kimboka. Yule binti kama kajirekodi ni yeye, lakini kitendo cha Polisi kumwanika mitandaoni si cha kimaadili.
 
Wabongo wana roho za kikatili na za kijinga mno.

Hakuna tatizo wal kosa yeye kujirokodi video, Tatizo lipo kwenye kusambaza. Bdala jamii kumlaani msambazaji jamii imekua bzy kumshutumu alierikodi. Kuna tatizo kubwa la ufahamu hapa nchini.
Sahihi Mkuu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…