Waliompiga picha na kuzisambaza binti anayehusishwa na chupa ya soda wanafaa kuchukuliwa hatua

Huyu ni binti anahitaji huruma yetu
Amefanya kosa kubwa je sisi kama Jamii tumtupe?
Tumsamehe na Tumkaribishe Tena kwa upendo mkubwa kwenye Jamii Yetu then tumuonye kwa upendo
Tukitumia nguvu kubwa tutampoteza
Wazazi wake wapo katika kipindi gani?
Huruma gani anayohitaji? Chupa si kajiingizia mwenyewe!!??
 
Wabongo wana roho za kikatili na za kijinga mno.

Hakuna tatizo wal kosa yeye kujirokodi video, Tatizo lipo kwenye kusambaza. Bdala jamii kumlaani msambazaji jamii imekua bzy kumshutumu alierikodi. Kuna tatizo kubwa la ufahamu hapa nchini.
Kwani nani kasambaza!!?? Video kajirekodi mwenyewe, bilashaka msambazaji ni yeye mwenyewe pia.
 
Mimi nakuunga mkono hata kama utashambuliwa na watu wanaojiona watakatifu wakati kila siku wananunua Malaya pale Kimboka. Yule binti kama kajirekodi ni yeye, lakini kitendo cha Polisi kumwanika mitandaoni si cha kimaadili.
Hiyo picha ya kituoni ina tatizo gani!!??? Yuko uchi hapo!? Amepigwa!!?? Acheni kuharalisha haramu.
 
Hiyo habari ya kupewa dili la hela ni kujaribu kuharalisha uovu, huyo binti hajarubuniwa na mtu wala hajapewa dili la hela no tabia yake tu, kuna videos zake kibao akijiingizia chupa tigoni so ni mchezo wake muda mrefu.
 
Kabisa, alijirekodi kwa simu yake so hapo msambazaji wa kwanza lazima ni yeye.
 
Ungeajua chanzo Cha kesi yake hata wewe ungemuonea huruma.
huyo katapeliwa.
Kajirekodi mwenyewe kwa raha zake, hajatapeliwa na mtu. Naona kuna nguvu kubwa inatumika kumsafisha ionekane alirubiniwa wakati si kweli, kuna videos zake kibao mtandaoni za tangu kitambo na inaonekana alikuwa anafanya michezo hiyo siku nyingi.
 
Za kuambiwa alipaswa kuchanganya na za kwake...
 
Badala ya kulaan Mwanamke mwenzenu kujiingizia lichupa na kujirekod kwa madaha mnakuja kumtetea Huku ujinga wanawake bhana na akili zao
 
Hivi anaakili kweli yaani afanye upuuuzi alafu watu wamuonee Huruma. Kwa umri huo anafahamu madhara ya kufanya video za ngono maana huyo alirecord mwenyewe kwa kujua. Ingekuwa pengine karecodiwa labda tungemuhurumia
 
Kajirekodi mwenyewe kwa raha zake, hajatapeliwa na mtu. Naona kuna nguvu kubwa inatumika kumsafisha ionekane alirubiniwa wakati si kweli, kuna videos zake kibao mtandaoni za tangu kitambo na inaonekana alikuwa anafanya michezo hiyo siku nyingi.
Fuatilia vizuri ujue kisa kilipoanzia
 
... sijui kwanini baadhi ya watanzania wenzetu ni wajinga kwa kiwango hiki! Kwanini ujipige au ukubali kupiwa picha ukiwa faragha? Shida inaanzia hapo.
Bia tamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…